Recent content by Mtani wa Jadi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Imani ya Ushirikina na Maisha ya Mwananchi

    Chungulia hapa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Utoaji wa gari!

    Mkuu, Ni muda gani umepita toka hiyo kampuni ikufanyie hiyo kazi? Nadhani namjua huyo bwana unaye mzungumzia, tayari amesha staafu pale, ana biashara nyingi tu lakini sikujua kama anatoa pia mizigo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Utoaji wa gari!

    Mkuu, Sasa unaweza kutupatia majina ya hao reputable agents hapo bongo? Wengine tusije ingia mkenge.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Utoaji wa gari!

    Mhhh mbona kazi ipo. Sasa na kama ndiyo nataka kutoa kontena lenye personal effects (i.e. gari, nguo, furniture, electronics, etc... nimeishi ughaibuni miaka minne), ngoma yake inakuwaje? Maana nasikia kuna misamaha ya kodi kwa "returning resident" lakini hizo info sijaziona anywhere kwenye...
Back
Top Bottom