Recent content by MTANGANYIKA M

  1. M

    Uwekezaji huu wa Dangote uangaliwe upya

    Watanzaia wengi na hata nchi jirani mtakuwa mmewahi kusikia pambio za sifa kutoka kwa wanasiasa na uongozi wa awamu ya nne, hasa wa kutoka mrengo wangu wa kulia, juu ya uwekezaji wa kiwanda cha saruji cha tajiri namba moja wa Afrika, Mnigeria Aliko Dangote mkoani mtwara. Binafsi niliposikia...
  2. M

    Warioba ashitakiwe

    uelewa wako ni mdogo sana.
  3. M

    Haya ndio Maneno ya Mwisho ya Baba wa Taifa Hili Mwalimu Nyerere Kuhusu Muungano!!

    vipi maneno yake ya mwisho na msimamo wake kuhusu sera ya ujamaa na kujitegemea yanazigatiwa pia?
  4. M

    Mwigulu Nchemba ahutubia bunge la ACPC na EU, apinga ndoa jinsia moja. Bunge lazizima

    Hata kama Mwigulu ana historia chafu, hapa nampongeza sana kwa kupata nafasi hiyo kwa niaba ya nchi yetu. lakini kushangiliwa si lazima maana anaweza kuwa ametoa msimamo ambao ni faida kwetu na hauwafurahishi wao mfano kukataa ndoa za jinsia moja au kuonyesha mwelekeo wa kuegemea kusaidia watu...
  5. M

    Yanayojiri bungeni: Tarehe 20 Machi, 2014

    Kiingereza ni lugha ya pili ya Taifa, lakini watanzania wengi hawajui kiingereza kwa sababu ili ujue kiingereza tz mara nyingi lazima uwe umepita shule angalau sekondari ambapo elimu inatolewa kwa kiingereza, sasa kwetu sisi watz ambao wengi hawajapata fursa ya kuhudhuia shule ambao pia ni...
  6. M

    Mapya yaibuka mbio za urais 2015

    Kwa hiyo Ngeleja anasemewa na msemaji wa chama hata kwa mambo yake binafsi?
  7. M

    Siri ya CHADEMA, CCM na Zitto hii hapa

    Nina hakika hauelewi kabisa ulichoandika hapa
Back
Top Bottom