Recent content by Mtandaonet

  1. M

    Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

    Labda Chanika ya Kirwa hiyo
  2. M

    Hizi ni busara chache ambazo nimejifunza kutoka kwa watu walionizunguka na sikuwahi kukutana nazo kwenye kitabu chochote

    Usalama katika Maisha ya Kila Siku 1)Epuka kutembea peke yako usiku Kama inawezekana, tembea na mtu au tumia usafiri wa umma wakati wa usiku. 2) Hakikisha nyumba yako ina usalama mzuri, na funga milango na madirisha vizuri. 3)Jifunze ishara za kujilinda kwa dharura, kama vile kutumia sauti ya...
  3. M

    Hizi ni busara chache ambazo nimejifunza kutoka kwa watu walionizunguka na sikuwahi kukutana nazo kwenye kitabu chochote

    Jitahidi sana uwe unafanya mazoezi hata ya ukakamavu kama kareti nk . Hii ni kwa ajili ya self defence. Ipo siku yatakusaidia. Lakini pia watotowako wafundishe dhana ya ukakamavu pia.
  4. M

    A Serious Lady is needed kutoka maeneo ya Moshi

    Duuu wamekuaje Tena hai?
  5. M

    Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

    Las Vegas maeneo yangu sana ,siwahi ona pisi hapo, au Huwa zinakuja kwa manati?
  6. M

    Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

    Haswaaaa, watoto wanajifungia sana, halafu ni kamji kadogo sana aiseee
  7. M

    Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

    Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
  8. M

    A Serious Lady is needed kutoka maeneo ya Moshi

    Nahitaji Mdada aliyekuwa serious ninayeweza anzisha naye mahusiano ya uhakika. Mwenye umri kuanzia miaka 20-30.
Back
Top Bottom