Recent content by mtamusana

  1. M

    JamiiForums Tanzania NINA SWALI

    Dah nilikua nawasiwasi sana , asanteni kwa kunitoa hofu. Mana walimu wengine walikua wanivunja moyo
  2. M

    JamiiForums Tanzania NINA SWALI

    NIMEOMBA UHAMISHO PROCESS ZOTE HALALI NIMEPITIA. Kama vile barua zote za kuhama kutoka nilipo na kuhamia ninapokwenda nimepata na nafasi ipo ya kuhamia. nimeambatanisha nakala zote zinazotakiwa isipokuwa sina barua ya kuthibitishwa kazini kwasababu nimeajiriwa mwaka huu mwezi wa tano.. iyo tu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    watu hawataki kigoma sijui kwanini, mim pia nipo kasulu ila sijapata mtu wala sijaona mtu yeyote
  4. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    0763290593
  5. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kasulu mjini nije tanga. Morogoro. Bagamoyo, pwani, kilimanjaro. Idara sekondary
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni

    Habari! Swali. Je upo uwezekano wa kuomba uhamisho kwenda mkoa mwengine hata kama hujapata barua ya Tscd ambayo nasikia unapewa baadacya mwaka mmoja?? Kama haupo je kama una matatizo ya kiafya na unataka kuwa karibu na nyumbani haiwezekani pia kukuhamisha?? Na kama inawezekana nitumie...
  7. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo kigoma nije tanga, iringa, kilimanjaro, pwani . njoo pm
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Geography Teachers For Secondary Schools Special Thread

    Kama umehitimu ktk fani hiyo halafu hujui u2mie njia gani huo msiba mkubwa. Au chuo chenu hamjasomeshwa kozi ya special method of teaching geog? Unanitia aibu
  9. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi nimepata kigoma cpatak
  10. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi nimepata kigoma
  11. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    si uje kigoma
  12. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kigoma kasulu , nije tanga popote, iringa , mbea, morogoro .
  13. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    kigoma kasulu dc nipe habari zake
  14. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    mnataka sababu tu na kupata kusema wakati unajua kua typing error kwa bahati mbaya. kama wewe hujawahi kukosea
  15. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    natafuta wenzangu walopata kigoma
Back
Top Bottom