Mm 2007 nilikuwa naenda Advance Songea, basi nikatoka kusini hadi dar, Dar nikapanda basi la superfeo kwenda songea, lile basi ilikuwa wakigawa soda ila mukifika maeneo ya Iringa na kwenda mbele, ila mm sikuwa nimewahi kupanda basi ambalo wanagawa soda, sasa ile tunafika mikumi naona njaa kwa...
Shida ni kwamba mtu kama huyu akikamatwa na kupelekwa mahakamani baada ya wiki tu ataanza kupata watetezi kutoka kwenye forum hili hili,
Africa tunaenda kwa tukio lililo mbele yetu,
Refer to Amba ruty, scorpion, wabakaji n.k tunawalalamika saaaaaana ila wakidakwa tu wamekuwa wakitazamwa kama...
Ww ni bonge la mwanaaaaa! Kuna mshikaji wangu alishanisaidiaga demu wake ambae ni mkali wa kitandani.......ili nami nikajionee.....misaada hii ni ya kiume sana
Asante mkuu tupo pamoja, at least kama hujui basi ongea utumbo ila mwishoni useme kuwa hujui jibu.......
Ila sio kuongea utumbo tu halafu unataka kuficha kutokujua kupitia utumbo wako!!!
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Vyuma vimekaza mkuu tena saaaaana, sasa kwa vyuma hivi halafu unalea mtu asiyekuhusu bila ridhaa (narudia bila ridhaa) yaani lijitu tu limekusingizia inaleta shida, kheri ulee ukijua kuwa sio wangu ila upo ridhaa,
Kuambiwa sio wako wakati upo kwenye maumivu ya msiba, then unaongezewa kuambiwa...
Vyuma vimekaza mkuu tena saaaaana, sasa kwa vyuma hivi halafu unalea mtu asiyekuhusu bila ridhaa (narudia bila ridhaa) yaani lijitu tu limekusingizia inaleta shida, kheri ulee ukijua kuwa sio wangu ila upo ridhaa,
Kuambiwa sio wako wakati upo kwenye maumivu ya msiba, then unaongezewa kuambiwa...
Kwa hiyo hapa bongo hakuna wanaopima kwa sababu ya kukosa huo urahisi? Na je hakuna vitu vigumu vinafanyika hapa hapa Dar ambavyo ni vigumu au vina protocol kali kuliko kupima DNA,
Mkuu umeshawahi kwenda kuomba Viza ya Marekani kwa safari isiyo ya kiofisi ukaona shuguli yake?
Watu wenye uchumi unaoleweka wanapima kila siku ziendazo kwa mungu na hatusikii hayo matukio ya kuuana, hizi ni dhana zilizo jaa kwenye mioyo yetu ya uswahilini ya kudhani kuwa ukweli wowote mkali huwa unaleta mauaji au fujo,
Tuondokane na hizi dhana za uswahilini, sisi watu masikini tunapenda...
Acha kukimbiakimbia kujibu swali lililoulizwa kwa kutoa maelezo meeeengi yenye dhana ambazo hazijajadiliwa,
Namna unavyohandle stress ni tofauti kabisa na jirani yako hapo nyumba ya pili tu, hivyo dhana za kwenye maisha yako hazifanyi kazi kwa kila mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.