Recent content by Mtalingolo

 1. Mtalingolo

  Watu wengi waliopo kwenye ndoa hawana furaha!

  Kunamuda wake zetu wanakuwa pasua kichwa. Ila Ndoa inavipindi vyote vya furaha na huzuni.
 2. Mtalingolo

  Watu wengi waliopo kwenye ndoa hawana furaha!

  Kimsingi unachokisema kunaukweli ndani yake. Ndoa nyingi hazina furaha sio kwasababu watu hawapendani lahasha, bali kunanyakati huwa za furaha na nyakati za huzuni. Ni kama vile unavokula muwa tu.
 3. Mtalingolo

  Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

  Nadhani baadhi bado wanafundwa wengine wanaweza kuwa hawafundwi labda
 4. Mtalingolo

  Kuwa na mahusiano na mwanamke aliezaa..

  Nadhani asilimia kubwa wanakuwa hivo ili wapate wakuwaoa, maana wakilinga linga au kujifanya wajuaji watazalishwa tena na kuachwa home.
 5. Mtalingolo

  Kuwa na mahusiano na mwanamke aliezaa..

  Sasa mzee baba si ungewazalisha hao uliokuwa nao kwenye mahusiano nao wangekuja pevuka kiakili kuliko kuwaacha, siku wakizalishw na watu wengine utawaona nao ni LULU tena.
 6. Mtalingolo

  Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

  Kumbe nawewe Hujaolewa kama ambavyo mimi sijaoa(joke), Safi sana nimependa ushauri uliompa mwenzio, kwakweli iwe funzo kwa wanawake wote, unawezaje kutoa siri za chumbani mwako kwenye social media. acha amwache ndio atajua nini maana ya mume na ndoa kwa ujumla.
 7. Mtalingolo

  Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

  Mwambie tu kuwa "Naomba tuachane kwasababu wewe mume wangu ni mvivu kila idara, familia hutunzi, lakini pia hujawahi kunifikisha kileleni, so nimepata serengeti boy ambae anweza yote hayo kuyatekeleza" hapo nadhani utaweza kuachana nae, na maisha ukiona hayaendi na unataka kurudiana nae njoo...
 8. Mtalingolo

  Mpenzi wangu anatongozwa sana!

  Naunga mkono hoja mkuu, 100% kwani mama yake huyo?? au kila muda wako pamoja from asubuhi to bedtime???
 9. Mtalingolo

  Kwa wanaume: Mnampangia mtu aishi vipi afanye nini wewe inakuhusu nini?

  Pole sana Manyoka, usijali ni mapito tu na amini yatapita na utasahau kabisa usumbufu unaopata. Inawezekana huyo jamaa aliokuacha kaona umuhimu wako sasa na anajutia uamuzi aliouchukua, so anataka mrudiane ila kukwambia anaona aibu. Ila sio wanaume wote tuko hivo, ni huyo au hao wachache...
 10. Mtalingolo

  Roho imeniuma sana

  mama Pita pole sana, inaonesha unamjali sana mpenzi wako lakini yeye kama upendo wake uko mbali hivi juu yako.
 11. Mtalingolo

  Roho imeniuma sana

  Hahaaaa sasa akimwachia mungu atarudi vipi kwakwe mkuuu?
 12. Mtalingolo

  Akili za michepuko wanazijua wenyewe

  Kabisa mkuu, eti akaswali afu arudi tena Guest hahaaaaaaa
 13. Mtalingolo

  Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

  Hapana sio mpige magoti kila mtuonapo, ile kujua tu kuwa mimi ni mumeo inatakiwa u-behave vipi tukiwa pamoja, hata kama unataka kitu basi jua staili nzuri ya kuomba, sio mwanamke unakuwa mkorofi mpaka mtu unajiuliza nilioa mke au tafrani. ni hayo tu nadhani
 14. Mtalingolo

  Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

  Kikubwa nadhani Heshima ndio inabeba kilakitu wanaume tunataka. vingine vinakuwa ziada tu
Top Bottom