Recent content by Mtakatifu Joseph

  1. M

    Muhitimu wa Open University anaweza kuendelea na masomo 'consecutively' kwa waajiriwa wa Seikalini?r

    Mkuu suala hilo halipo mbona kuna jamaa yangu amemaliza master na ameunganisha na phd bila matatizo na ni mwalimu na bado yupo kazini kama kawa.Hebu nijuze sifa za kujiunga shahada na pia diploma ktk chuo kikuu huria nina hamu sana ya kujiunga.
  2. M

    Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

    Wadau naomba mwenye uelewa juu ya sifa zinazotakiwa ili kujiunga na chuo kikuu huria Tanzania kwa shahada ya kwanza katika elimu(first degree in education).na pia sifa za stashahada(Diploma) ya elimu. Asanteni. === Sifa kwa wanaotaka kuingia vyuo vikuu (The ones who wish to join Universities)...
  3. M

    Taarifa kwa Umma toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

    Vip matokeo ya form vi mbona hayatoki?au na yenyewe yanachakachuliwa?
  4. M

    Ucheleweshaji matokeo mpaka lini!?

    Huwa yanatoka Mei 1 mbona hadi leo Mei 6 hamna kitu?
  5. M

    Serikali isipandishe mishahara!

    Washushe bei za bidhaa,sambamba na kuongeza mshahara.
  6. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mi nipo simanjiro natafuta mwalimu wa shule ya msingi wakubadilishana nae awe mkoa kilimanjaro wilaya yoyote.
  7. M

    Kwanini Dr. Slaa hapendi kuhudhuria mazishi ya wasanii wetu?

    Wewe unaenda msibani kuangalia nani amefika nani hajafika huo unaitwa unafiki wala sio kuomboleza.think big!
  8. M

    Simanjiro tumedhulumiwa fedha za sensa.

    Mimi ni nilikuwa karani wa sensa ya watu na makazi iliyofanyika2012.Napenda kueleza kwa masikitiko makubwa dhuluma tuyofanyiwa sisi makarani wa sensa katika mji mdogo wa Orkesumet-simanjiro ya sh.70,000/=tuliyopunjwa bila sababu hadi leo hatujalipwa
  9. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi niko Wilaya ya simanjiro hapa makao makuu unahitaji?
  10. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi niko jirani yako hapa simanjiro unahitaji?
  11. M

    Wataamu wa kiswahili saidia hapa tafadhali

    Jibu ni reply jawabu ni solution.jibu laweza kuwa sahihi au uongo lakini jawabu ni ufumbuzi wa tatizo.
  12. M

    Naomba kuuliza ili mtu aitwe doctor kama dk SLAA ,dk Harison ana ngazi gani kielimu

    Mi nataka kujua tofauti ya udokta wa mkuu wetu inatofauti gani na ile ya dr slaa au wako sawa maana wote ni dr's.
Back
Top Bottom