CHANZO CHA UVUNJIFU WA NDOA NA MUARUBAINI WAKE.
Katika mambo yanayowadumbua watafiti mpaka leo hii ni suala la kuvunjika kwa ndoa makundi kwa makundi.
Kipindi Cha nyuma enzi za mababu zetu ilukuwa jambo la kustaajabisha kumuona mtu kamtaliki mkewe na kuibua maswali mengi bila majibu, lakini...
MAZINGIRA BORA YA BIASHARA KUCHAGIZA UKUAJI WA UCHUMI.
Unapozungumzia uchumi imara wa nchi huwezi acha kuzungumzia biashara kama kiungo muhimu katika sekta hio kwani shughuli nyingi zinategemea biashara mfano mzuri wa shughuli hizo ni uvuvi, kilimo, uchimbaji madini, utalii na shughuli...
UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI.
"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela,)
"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye...
UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI
"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela,)
"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye...
Katika jambo linalotafakarisha sana ni kitendo cha wananchi kuburuzwa na wanasiasa kwa namna wanayotaka. Wanasiasa huwaona wananchi kama watu wasiojitambua wala kujielewa hivyo wanaamini wanaweza kuwaambia chochote na kuwafanyia chochote na wakakubali.
Ni jambo la kawaida sana kwa mwanasiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.