Recent content by mtafutaji kiongozi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kurekebisha nokia asha 302

    Uliapudate new version kivp mkande classic
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kurekebisha nokia asha 302

    Yan app zote za network na intanet hazifunguk zinastak tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kurekebisha nokia asha 302

    Wadau napenda kutangulza shukran zangu za dhat kwenu! Nimekua nikipata msaada zaid kupitia nyinyi!!! Leo nimekuja na mada nyingne. Nina sim angu aina ya asha 302 ilikua ikifany kaz vzur ila kuna siku nikiwa katka matumiz ya intanet cm ili stuck ksha ikaandka conflict in OS. Nlijaribu kutoa betr...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kuinstall whatsapp plus kwenye tecno p5

    SAIV NAINJOI NA WASAP PLUS KWNYE TECNO H5!! Mwl.RCT ahsante sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kuinstall whatsapp plus kwenye tecno p5

    Wadau nahitaji whatsapp plus lakin kila nikii itafuta playstore na other unknown source siipati!! Kama kuna m2 anaweza nipa direct link pls naomb ani2miae!!! Ahsanten
  6. M

    JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    :israe l:
  7. M

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    :israel:
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya ku root tecno h5

    Kuroot ni risk sana kama huna ujuzi! Tayar kitecno changu kisha kuwa kimeo! Kinajizizma na kujiwasha chenyewe smtimes hakijai chaj!!! :(
  9. M

    JamiiForums Tanzania Google Map walipataje majina ya mitaa na barabara zetu?

    Asante kuniongezea maisha haha
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kubadili windows phone kuwa android?

    Window ndo software sio window mobile wala window phone! Otherwise kuna window dell ambayo ni sw pia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kubadili windows phone kuwa android?

    Umekariri wewe!! Tena ukijitizama wew ndo upo cha kike!! Hujui hata masim ya ttcl yale ya kulipia barabalan nayo ni phone??? Neno mobile ndo unakua specific sio phone cos neno phone lipo general sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Real & Perfect ways of making mean money online

    Sasa mkuu blogs na website si ndo nyenzo za kukuweka online??? Au unamanisha nin kufanya kaz online???
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini usifanye hivi kupata data zaidi kwa siku?

    Nina wik 3 sasa lain ya voda cjui hata ilipo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tusapotiane watanzania

    Wanajamvi kuna application nimetengeneza inaitwa ''masaba chat'' ila bado sijai publish kwenye play store wala amazon store sababu nikutaka kujua ubora wa application yangu na inaweza kusapot sim gan na haisapot sim gan!!! Nataka kujua hayo yote ili niimalizie kuiediti na kisha kuiweka sokoni...
Back
Top Bottom