Recent content by MTAFITI

  1. M

    Mbunge MARTHA MLATA

    KATIKA KUCHAMBUA SUALA HILI NITAKUWA NAWEKA MJENGONI KILA BAADA YA SIKU MBILI ili kila mdau aweze kujua mambo ya hao MAFISADI NA UFISADI ambao mm naimani ipo siku wataanguka na ufisadi wao kuanguka kwa namna yeyote ile.
  2. M

    Mbunge MARTHA MLATA

    wiki ijayo nitaanzia na MAFISADI walivyojipanga kuimaliza NEC YA CCM YA SASA KWAKATI WA UCHGAGUZI 2007,hapo ndugu wananchi mutapata kujua nguvu yao ndani ya CCM YAO kwani kuna imani kwamba wananguvu ndani ya serikali ya JAKAYA.
  3. M

    Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

    MAFISADI NA UFISADI unaofanywa na baadhi ya wajumbe au wanachama wa CCM ipo siku utaanguka na wataanguka ,ni kweli ufisadi upo popote paleduniani lakini UFISADI unaodidimiza maendeleo ya nchi ni ufisadi unaofaa kupingwa na kila binaadamu kwa jinsi anavyoweza,naujadili ufisadi wa nchi masikini...
Back
Top Bottom