Hakikisha biashara unayo enda kufanya unaielewa, ukiweza tafuta boda, mpe mtu uwe na uwakika wa kula kuanza biashara ni changamoto sana, mambo ni magumu kwenye biashara au tafuta mtu unaye mjua kuza mtaji muanze kula faida.
Mbinu muhimu wakati wa uanzishaji ufugaji wa samaki
i. Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. Ni wazi kuwa dhamira ya kweli ni kitu muhimu sana unapotaka kufanya jambo lolote kwani bila kudhamiria basi huwezi kufanikiwa, matokeo ya kutokuwa na dhamira ni kukata tamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.