Recent content by mtaa umetulea

  1. mtaa umetulea

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere ashinda tuzo za Zikomo kama mwandishi bora wa vitabu Afrika

    Huyo marioo kweny tranding yupo number ngap ww nae akili kisoda
  2. mtaa umetulea

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na kanji anasema leo kuna hela
  3. mtaa umetulea

    JamiiForums Tanzania Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

    Umenikumbusha mbali mm japo baba na mama walikuwepo lakn nimeishi sana kwa baba wadogo na wajomba lakn walinikomaza kimaisha hiyo toka kwetu nilizoea namm nawambia hata ww toka kwetu
  4. mtaa umetulea

    JamiiForums Tanzania Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

    Huyo nae mshamba boss unakamatwaje kizembe hivyo wanaokamatwa ni nyoka tena wadogo
  5. mtaa umetulea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na mke wangu ambaye nimeishi naye miaka 2

    Tafuta mchepuko mzee
  6. mtaa umetulea

    JamiiForums Tanzania Pole Freeman Mbowe! Umedhalilishwa sana ila Mungu atakulipia

    Acha kulia lia mtoto wa kiume fanya kaz acha uchawa
  7. mtaa umetulea

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Mbowe utabakia kuwa Jenerali na kiongozi wangu siku zote, Nitakuwa tayari siku yoyote kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa

    Nilitaka kushangaa mayai haya haya na yule vitabu hivi hivi wajenge majumba yake
  8. mtaa umetulea

    JamiiForums Tanzania Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

    Nilijua yerricko nyerere ndio hana akili peke yake kumbe mpo wengi
  9. mtaa umetulea

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

    Wenje anajiuzuru mwenyekiti wa kanda anakua bob wangwe za ndaaniiiii
  10. mtaa umetulea

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Tundu Lissu akidai Mbowe alipotoka jela alibadilika kalamba asali!

    Team mbowe hamna hoja hali mbaya
  11. mtaa umetulea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi nina tatizo la kupenda kufanya mapenzi nahitaji njia ya kuacha ama kupunguza

    BF wako anakugusa gusa hujapigwa mpaka unaweka mikono
Back
Top Bottom