Recent content by mt halisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mchaka mchaka mpaka Ikulu Musoma mjini

    Safi sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe amshauri Kombani ajiuzulu

    Maneno mazito sana bantugarage kwa hao waheshimiwa uliyowataja.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Njia ya kutuma mzigo kutoka Senegal kuja Tanzania

    Mapfa, Mwana jamii. Kuwa makini mate hawa jamaa wa West Africa esp Nigeria,Senegal kote huko wanajifanya wako smart wana pose kama wanawake wazuri kutaka kuibia watu kwa Zawadi za laptop,Camera na vitu vya thamani kama hivyo. Wanaomba utume postage charges ili wakutumie Zawadi zako. Achana nao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, Josephine, Mwanakijiji et al: Hii Meli ya CHADEMA/UKAWA Tayari Inaondoka, Uamuzi ni Wenu

    Well analysed And it's pure facts, thank you @ Serena.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

    Thanks bro very satisfactory infos @ hekimatele.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

    Asante sana Jeki, appreciated.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

    Asante @ makiri Unguluma
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

    Wapendwa wana jamii, Poleni na majukumu. Naomba mwenye kujua wapi naweza pata hizi machine za kukamua juice ya miwa na bei zake tafadhari, nafikiria kuanza huo mradi nikiipata hiyo machine kama Mungu akinijaalia. Asanteni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni leo Alhamisi July 9 2015, usitishaji bunge la awamu ya nne

    Wakidanganya ma diplomat @ zaleolaleo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni leo Alhamisi July 9 2015, usitishaji bunge la awamu ya nne

    Mh. Jenister Mhagama ametengua moja ya kanuni ili kutoa Room kwa wageni waalikwa kukaribishwa ndani ya Ukumbi wa Bunge wachanganyike na waheshimiwa wabunge Ukumbi, hii itasaidia angalau kuziba gaps za waheshimiwa wabunge wa upinzani ambao hawatakuwemo Bungeni wakati mh. Rais atakapoliutubia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Sitoshiriki vikao vya Bunge vilivyobaki

    Ina make sense,what about his counterpart - Mbowe hasn't say anything yet?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Sugu ajibu tuhuma za kupora mtoto kutoka kwa mzazi mwenzake

    Muda si mrefu mbunge wa CDM, mh.Sugu akijibu tuhuma zilizoelekezwa kwake na mh.Martha Mlata CCM kuhusu kesi yake na mama mtoto wake iliyotolewa hukumu in favour of mh.Sugu. Mh. Sugu ameonekana akifuta machozi na handkerchief mara baada ya kumaliza kujibu tuhuma hizo Bungeni. Siasa bwana!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Arusha: Trafiki Saba, wanasurika kifo, gari la Polisi lagongwa

    Duh! Huyu dereva kapinda, aliamua kuwagonga baada ya kujaribu kusimamishwa!vp yeye ni Kati ya hao marehemu?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina Mkopo wa TZS Million 5, nataka kununua gunia za Mchele toka Mbeya kuleta Dar, inalipa?

    Nashukuru kwa ushauri, big up jamiiforums.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina Mkopo wa TZS Million 5, nataka kununua gunia za Mchele toka Mbeya kuleta Dar, inalipa?

    Ni wazo tu na nimeona ni biashara nayoweza kuifanya na kuhusu Mbeya siifaham sana ila nina ndugu pale wanaweza kunisaidia kwa namna moja au nyingine @ nzalendo
Back
Top Bottom