Recent content by msuyaeric

  1. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Wakati siku za kutoa ripoti zinakaribia

    Jaji Chande na tume yako tunataka kusikia haya kwa ufasaha kabisa!.. 1. Nani alifadhili machafuko yale? Nani alipokea hela za Open Society kufanya vurugu zile? 2. Nani ndani ya CHADEMA alipanga vurugu zile na mapinduzi ya serikali? 3. Nani aliruhusu JWTZ watoke kambibi Lugalo na kuungana na...
  2. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kwa Kanda ya Ziwa Rais Samia umeweka historia

    Na Mwl Udadis, Nyakato-Mwanza Rais Samia anaendelea kuonyesha upendo wa dhati na dhamira thabiti kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa kupitia miradi mikubwa inayobadilisha maisha, biashara na uchumi wa Mwanza na Kanda ya Ziwa kwa ujumla. Amezidua meli kubwa na ya kisasa zaidi Ziwa Victoria, MV New...
  3. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Buriani mzee wetu Edwin Mtei: Chadema wajue kuwa kifo hakina mwenyewe

    Ndugu Godbless Lema kwa muda sasa amekuwa ni "specialist"wa kuwatabiria vifo viongozi wa Serikali na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi. Kibaya zaidi Vifo vikitokea Machema wanajifungia sehemu na "kuchoma" nyama. Wakati wa Kifo cha Hayati John Pombe Magufuli walifanya hivyo, wakati wa kifo cha...
  4. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wazuiwe kushiriki mazishi ya Edwini Mtei, kwa kosa hili la usaliti

    Na Wakili Charles N. Heche Mwaka 2023, aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu, alitua katika Uwanja wa OR Tambo kuhudhuria semina akiwa na timu ya rafiki zake. Ni katika kipindi hicho Operesheni ya CHADEMA ilisimama kwa sababu chama kilikosa fedha za usafiri na posho kwa wajumbe. Swali...
  5. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Kupeleka wanafunzi Harvard, kufuta tozo ya VRF na kuongeza fedha ya kujikimu kumeacha alama isiyofutika kwa watanzania, asante Rais Samia

    Na Mwl. Udadis, Mazimbu Value Retention Fee (VRF) kwa lugha ya Kiswahili ni tozo ya kutunza thamani ya fedha (mkopo). Kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, kila mmoja alikuwa akilipa 6% ya deni kama VRF, jambo lililokuwa likiumiza wanufaika. Kitendo cha Rais Samia kuamua kufuta tozo...
  6. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia atakavyopata Ushindi Kupitia Wagombea wa Ubunge wa CCM

    Uchaguzi Mkuu wa 2025 unakaribia. Rais Samia Suluhu Hassan anaonekana kuwa na nafasi kubwa ya kushinda na moja ya silaha zake kuu ni aina ya wagombea ubunge waliopitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wagombea Wenye Ushawishi CCM imepitisha wagombea wanaopendwa na wananchi na wenye historia ya...
  7. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kufanya kikao na mabalozi mbalimbali nchini kwa lengo la kujadili hali ya kisiasa, huu siyo ukiukwaji wa mkataba wa Vienna?

    Golf Mike Uniform! Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya...
  8. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni - Kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Na, Kalamu ya Jenerali, Mbalali Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda...
  9. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Kesi ya CHADEMA kurushwa live ni hatua ya kihistoria ya uwazi na demokrasia

    Na Mwl. Alfred Maziku – Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha misingi ya utawala bora, kwa kuruhusu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kesi ya kiongozi wa...
  10. msuyaeric

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada kutengeneza nywele waendapo kwa wapenzi wao, inamaanisha nini?

    Sometimes nywele zao huwa zinanuka sana ndo maan anaona aibu
  11. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Lissu Anapokuwa Mwanasheria Anayedharau Sheria, Wingi wa Mawakili Hautamsaidia

    Na. Johnson Mgwabati Mtaalaam mmoja wa sheria Albert Venn Dicey aliwahi kutafsiri dhana ya Utawala wa Sheria (Rule of Law) kuwa ni “kufuata sheria kama zilivyo.” Lakini bingwa mwingine wa masuala ya uendeshaji wa makosa ya jinai, utetezi na ushahidi, Prof Abdallah Safari, anasema katika andiko...
  12. msuyaeric

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

    🤣🤣🤣
  13. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Kitila: Ilani ya CCM ya 2025/30 ni Ilani ya Wananchi

    Dodoma Kumewika! Hii leo Chama cha Mapinduzi [CCM] kimezindua ilani yake tayari kwa mbio za Uchaguzi mnamo mwezi Oktoba 2025. Ilani ni ahadi, ilani ni agano linaloingiwa kati ya CCM na wananchi juu ya nini wanaenda kufanya kwa ajili ya watanzania pale watakapokuwa wakiomba ridhaa ya wananchi...
  14. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Dr. Netumbo Nandi-Ndaitwah ana la kujifunza kutoka kwa Rais Samia nchini Tanzania

    Na: Crispin K. Mutalemwa 20.05.2025 Ujio wa Rais wa Namibia Dr. Netumbo Nandi-Ndaitwah nchini ni alama nyingine yenye hadhi ya nishani ya juu katika koti la uongozi kwa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Tanzania kiujumla. Dr. Netumbo akiwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Namibia anafuata...
Back
Top Bottom