Hakuna umaskini mbaya duniani kama upumbavu.
Ni upumbavu wetu watu weusi wa bara la Afrika uliowadhalilisha babu zetu katika biashara ya kuuzwa kama ng'ombe kwenda kutumikishwa Ulaya na Amerika kama wanyama wa nguvukazi wanavyotumikishwa.
Kikaja kipindi cha kuwatumikisha barani Afrika baada ya...
Ni kweli ccm imemaliza kazi Arumeru Mashariki na Ukerewe kwa kuwanunua madiwani ila huwezi kujipumbaza kwa upumbavu wako ukadhani unawapumbaza watu wenye akili zao zilizotmia.
Jiulize ni kwanini CCM ihangaike na madiwani waliochaguliwa kidemokrasia? Inajijenga au inabomoa demokrasia nchini? Aibu!
Hiyo pollution imeanza lini na inatoka wapi kwenye kilimo cha kisasa?
Hii ni demadogue (gemagogi) wa kimfumo, kuumiza watu wengine kujitafutia umaarufu au kutumia hofu ya kijamii kujinufaisha kisiasa tabia iliyoanza katika utawala wa serikali ya awamu hii ya tano.
Makala hii imetufundisha kuwa watumishi wa umma wote wanaochangia kuleta maendeleo ya nchi nao wathaminiwe na wagharimiwe likizo zao kwa wakati na kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi wao.
Wewe ndiye hukumuelewa mhe Tundu Lissu. Kifupi amekupa "snap shot" ya msimamo wa kisheria kuwa acacia na wote waliohusika na uingiaji mikataba wako "right".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.