Recent content by Msumenokata

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa mwana JF aliyepo Dar kutokwenda gereza la Keko leo for visiting

    Du mpeni pole yake na mungu you pamoja naye na atamsaidia atatoka
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vitu ambavyo vikimtokea Mwanamke hatajali chochote

    Yea hiyo ni kweli nimewahi kuishuhudia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ipige marufuku kusuka mkeka/Kubet siku na saa za kazi

    Mbona kasino watu wanacheza kamali muda wote
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane vipindi na tamthilia maarufu za kwenye TV za kipindi hicho. Mnakumbuka wapi?

    Kuna mchezo wa kidedea ya mzee jengua
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rai: Bangi na gongo vihalalishwe

    Yea ni bora waruhusu tu kwa kua hats asksari polisi wengi tu wanatumia hixo vitu na wanajulikana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Kwa kweli hawa wabunge wakiipitisha hii itaumiza sana watu da inauma sana kwa pesa zako
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnara wa kumbukumbu Ruvu, pembezoni mwa barabara ya Morogoro

    Du hata mim nlikua najiuliza ilenina maana gani thanx kwa kutufungua
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

    Da hata buku 4 kulipa mtu anashindwa alinunuaje sasa vizuri garama jamani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

    Ukweli ni kua serikali ilikurupuka kwa maana ya kua watoa huduma wakitoa huduma hiyo bure itakua ni hasara kuna kodi kibao kuanzia tra ,tcra ,kuna umem kuna wafanyakazi na matumiz mengine mengi so watanzania tuchague visimbuzi vya bure mbona vipo vingi tu kama statime cha bure kinauzwa 80 elfu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya asitisha zoezi la utoaji chakula Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Dawa zenyewe tu hawatoi kwa wote chakula so ndo itakua shida kabisa wapo watakaokufa kwa njaa tu mbali na ugonjwa bora wamesitisha
Back
Top Bottom