Recent content by Msumbufu1953

  1. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Nataka Computer complete kuanzia RAM 2 na hdd 250

    😂😂 Hayo umeongeza wewe.
  2. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Nataka Computer complete kuanzia RAM 2 na hdd 250

    Naomba wanipigie walionicheki, sikuweza kupokea simu kutoka na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.
  3. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Nataka Computer complete kuanzia RAM 2 na hdd 250

    Offer yangu ni 150,000/= Nicheki kupitia 0625575831 Location Dar
  4. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

    😂😂Yani umeona uwapige kichwani watu wa sekenke
  5. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Natoa 50,000 Kwa mwenye Movie za korean Drama au English Season,1TB kwenda mbele

    Tunaomba, maendeleao/mrejesho mkuu
  6. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Ni wapi ulipotoka, ulipo sasa na unategemea kuwa wapi baada ya miaka 5?

    Huwezi kusema umefeli, bado mapema. Dar kuwa na ofisi inahitaji uwe na pesa kiasi kilichochangamka kidogo kutegemeana na aina ya biashara unayofanya. Biashara ya kutoa huduma ni nzuri zaidi kuliko ya kununua mzigo uuze(machinga).
  7. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja Mabwe Pande karibu na Mto Mpiji kina ukubwa wa Mita 25 kwa 20

    Unauza bure? Maana hamna bei hapo!
  8. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Unafanyia mkoa gani Good, nitakutafuta unipe ABC
  9. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Unafanyia mkoa gani
  10. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Huna kazi lakini kwenye simu una 50,000 Tshs tu, ifanyie hiki ninachokushauri...

    CONTROLRA always ww ni madini tu👏🏾👏🏾
  11. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye biashara ya mazao mbalimbali kutoka Rungwe, Mbeya

    Mchele wa mbeya Grade 1 bei gani
  12. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye maduka ya reja reja ni kitu gani ukiweka kinavutia zaidi wateja?

    Vocha na bidhaa zingine ndogondogo lakini kwa ujumla biashara ya duka ni pasua kichwa sana sikushangai ww kuomba ushauri
  13. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi unaweza kufanya mitaa ya kishua?

    Fungua duka la mahitaji ya nyumbani ila uuze vitu classic tu mfano blueband vitu vingine ambavyo unaamini sio vya uswahilini
  14. Msumbufu1953

    JamiiForums Tanzania Nauza Banda la biashara pamoja na bidhaa

    Halipo hata maeneo ya barabarani ndugu yangu
Back
Top Bottom