Recent content by msumarimagulu

  1. M

    Chuo cha DIT Dar es salaam campus rekebisheni mfumo wa kuomba application upande wa shahada kwa mwaka 2025 na 2026 .

    Chuo cha DIT Dar es salaam campus kuna shida kwenye mfumo wa application kuna stage ukifika nadhani ni stage 3 ambapo inabidi uweke index number za muombaji uli kuverify matokeo, ukifanya process zote mfumo bado unakurudisha hapo hapo. Mbaya zaidi hata number za simu zilizotolewa pale zote...
  2. M

    Barabara ya Usagara - Mwanza Mjini KM 25 Kujengwa kwa Njia Nne

    Itakuwa ni habari njema kwa wananchi na nchi jirani make hiyo barabara imekuwa kero sana
  3. M

    KERO Changamoto ya usafiri wa daladala nyakati za usiku Buhongwa-Usagara

    LATRA - Mwanza Jiji hii post wanapita kama hawaoni,hii route ya usagara ...mjini,kisesa,airport etc haijakaa sawa hata kidogo.Kwanini magari yanageuzia pale Buhongwa bila kufika mwisho yan usagara hasa hasa wakiwa wanatoka mjini kurudi usagara ???Na kwanini pale buhongwa wameweka route yao kwa...
  4. M

    Honda stepwagon

    Honda stepwagon,ninavutiwa na muonekano wake . Kama kuna mtu anaitumia humu anaweza kutupatia uzoefu wake na pia changamoto zake kama zipo lakini pia upatikanaji wa vipuri kwa hapa Tanzania ukoje ukizingatia hapa nchini wengi wanapendelea magari ya Toyota. Karibu kwa yeyote mwenye taarifa...
Back
Top Bottom