Recent content by Msulunje

  1. M

    Je, kila kifo kinachotokea kwa binadamu ni mpango wa Mungu

    Shukrani kwa ufafanuzi, Darasa zuri sana ulilonipa .... hakika ubarikiwe
  2. M

    Je, kila kifo kinachotokea kwa binadamu ni mpango wa Mungu

    Na kumbuka kuna maandiko haya "Kila nafsi itaonja umauti" na lingine linasema "Mwanadamu yoyote aliyezaliwa na Mwanamke siku zake za kuishi zinahesabika" Je una hoja gani kuhusu hayo maandiko mawili?
  3. M

    Je, kila kifo kinachotokea kwa binadamu ni mpango wa Mungu

    Habari wadau, Ningependa kufahamu labda kwa kuwa uelewa wangu juu ya mambo ya kiroho ni mdogo, Je kifo kinachotokea kwa binadamu ni mpango wa Mungu? na Je! kama ni mpango wa Mungu kwa nini kwenye Amri ya Tano alisema 'USIUWE' Naombeni mnielimishe wadau kwa hoja za kistaarabu, tena kutoka kwa...
  4. M

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Kumbukeni Manji alishastafu, Hata kama asingekuwa kastaafu kesi ingekuwa ni ya kampuni ma sio yeye binafsi! Since kashastep down hana kesi kabisa hapo!
  5. M

    Taarifa za Ben Saa Nane kuonekana, Jeshi la Polisi lizifanyie kazi Taarifa za Kubenea

    Good .... maana ujanja ujanja mwingi sana
  6. M

    Taarifa za Ben Saa Nane kuonekana, Jeshi la Polisi lizifanyie kazi Taarifa za Kubenea

    Good .... even me nimeuliza hvy hivyo lakini watu wameishia kutokwa na povu while kilicho andikwa MwanaHalisi Online jina la Mwandishi alioneshi kuwa ni Kubenea
  7. M

    Taarifa za Ben Saa Nane kuonekana, Jeshi la Polisi lizifanyie kazi Taarifa za Kubenea

    Mbona story ya MwanaHalisi Online haina By Line yake??
  8. M

    Taarifa za Ben Saa Nane kuonekana, Jeshi la Polisi lizifanyie kazi Taarifa za Kubenea

    Kwa lipi?? maana hakuna sehemu aliyo nukuliwa
  9. M

    Taarifa za Ben Saa Nane kuonekana, Jeshi la Polisi lizifanyie kazi Taarifa za Kubenea

    Ni mahari gani Kubenea kanukuliwa juu ya taarifa hizi?? naona zinasambaa sana pasipo kuonesha Kubenea aliandika au kusema wapi juu ya hii inshu
  10. M

    Baraza la Michezo la Tanzania lakana kutambua ukodishwaji wa Yanga

    Huyu katibu wa BMT hajielewi timu haijabadilishwa jina .......... Yanga Yetu ni jina la kampuni ..... ni aibu kuzungumza utumbu kama huo.
  11. M

    Tukubaliane, hatuna wimbo wa taifa

    Ndugu ungetoa Credit kwa Mwandishi Ansert Ngurumo aliyeandika hiyo Makala kupitia Gazeti la Mseto liliotoka Alhamisi but umefanya vizuri kuileta jukwaani watu wajue ukweli maana tumekuwa wakuiga tu....
Back
Top Bottom