Recent content by Msuluhishi

  1. M

    Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

    Tatizo ninaloliona ni hilo jina la filamu hii. Kama mtu ni Mtanzania mwenye asili ya Kiafrika, mtu mweusi, unaishi hapa hapa Magomeni, unazaa mtoto wako wa kiume na unampa jina “Prince William”, basi wengine wataona mwenzetu ni “British” sana na watakusifia kwa uzungu wako. Lakini pia wapo...
  2. M

    GE2020 Nilikuwepo kwenye mkutano, sijapenda kuchangishwa fedha kinguvu

    Hata hivyo kuna haja gani kuchangisha wanachama siku ya uzinduzi wa kampeni kama hukuwapa taarifa mapema? Uchaguzi huu unaangaliwa na unafuatiliwa na dunia nzima. Uchaguzi huu unafadhiliwa na wajomba wanaofuatilia huko duniani. Kuna haja gani kuchangisha wapiga kura maskini wakati kuna wajomba...
  3. M

    GE2020 Bashiru: Kuna mtu unakuta ndani ya miaka mitano tu kapata vyeo vikubwa viwili kwa mpigo halafu kabla hajakomaa pale, anataka Ubunge. Sigombei

    Artificial intelligence naona matusi na kebehi kwa Waafrika yamekutoka bila sababu ya msingi! Wewe mwenyewe hapo uliyebahatika kupata elimu na maisha mazuri kidogo una ndugu zako wengi tu wanasota huko kijijini! Halafu leo unakuja hapa na dharau na kebehi kwa Waafrika wenzio kumbe hata wewe ni...
  4. M

    Raia wa nchi 11 kutoka Afrika mbioni kuruhusiwa kuingia nchi wanachama wa EU kuanzia Julai baada ya nchi hizo kufungua mipaka

    Ili kukoleza utalii wa Rwanda, kila wanapopokea watalii basi itabidi waje kuazima Ngorongoro, Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Zanzibar nk. Mara hao watalii unaosema wa EU wanapoondoka basi wanaturudishia huku kwetu..
  5. M

    Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

    Quite honestly, sijui umepata wapi ujasiri wa kuita Watanzania wenzio walio wengi wajinga na waliofeli maisha!!! Ndugu yangu una umri gani wewe? Are you serious?
  6. M

    Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

    Hizi ni kebehi kwa marehemu. Wewe mwenyewe umetenda dhambi ngapi mbona hakuna anayekutakia mabaya?
  7. M

    Tanzania inaweza kuwa Taifa la Watu Wajinga zaidi Duniani!

    Taifa la watu wajinga zaidi duniani lenye mmoja kati yao, tofauti kabisa na wenzake wote anayeitwa Vicdala55, mwerevu sana na ambaye yeye peke anatambua wenzake wote Milioni 59.999999999 ni wajinga kuliko watu wote wengine duniani!! Very interesting times!
  8. M

    Marehemu hasemwi vibaya: Watu wapinga vikali salamu za Rais Magufuli Juu ya kifo cha Rais Nkurunziza

    Tabia unazozianika hapa ni zilezile za kitoto za kukumbatia matusi hata pale ambapo siyo lazima kutukana! Wakati mnakuja Tanzania ulitakiwa vijitabia hivi vya hovyo uviache pale mpakani kabla ya kuvuka na kuingia Tanzania. Naona hizi tabia za visasi, hasira zilizopitiliza bila busara mpaka...
  9. M

    Marehemu hasemwi vibaya: Watu wapinga vikali salamu za Rais Magufuli Juu ya kifo cha Rais Nkurunziza

    “Can you make it in English, please!”...Kwa hiyo wewe ukianika utoto wako kwa Kiingereza kibovu unaona ndiyo ustaarabu? Mkimbizi aliyepewa uraia utamjua tu. Unaleta tabia ulizozizoea toka huko ulikotoka. Watanzania hawana tabia za kutukana watu matusi ya likings na ya kitoto hadharani. Jifunze...
  10. M

    Waziri Ummy: Mikoa zaidi ya 15 haina mgonjwa yeyote wa Corona

    Kenya ulikuwa ukilipa KSh2k au 3k basi unapata negative report. Kama huna huo mpunga unapewa positive report. Rushwa tu ndiyo ilikuwa inaamua kama wewe ni mzima au mgonjwa!
  11. M

    Marehemu hasemwi vibaya: Watu wapinga vikali salamu za Rais Magufuli Juu ya kifo cha Rais Nkurunziza

    Kwa tabia hii unayoianika kwenye jamvi hili ndiyo maana ndugu zako huko Burundi hawajaweza kupata amani na utulivu kwa miaka mingi. Ni vigumu sana nchi kuwa na amani kama lugha wanayoijua wao ni matusi tuu hata mahali ambapo si lazima? Kwa matusi haya yasiyo ya lazima unayotoa bila breki, wewe...
  12. M

    Marehemu hasemwi vibaya: Watu wapinga vikali salamu za Rais Magufuli Juu ya kifo cha Rais Nkurunziza

    Mtu yeyote anayejenga hoja kwa matusi au anayefikiri kwamba ukimtukana mtu stupid basi anakuwa stupid ana mapungufu makubwa kiakili. Hoja hujibiwa kwa hoja siyo matusi. Wacha nikufundishe hivyo kama mtoto wa chekechea.
  13. M

    Marehemu hasemwi vibaya: Watu wapinga vikali salamu za Rais Magufuli Juu ya kifo cha Rais Nkurunziza

    Kwa binadamu wa kawaida marehemu hasemwi vibaya kwa mtindo ulioutumia wewe. Ujumbe ulioandika ni wa kishetanishetani na siamini kama wewe una moyo tofauti na hivyo ulivyomsema marehemu.
  14. M

    Hivi baba wa Taifa angekuwa kama vijana wa sasa wa CCM, Tanzania Tungepataje uhuru?

    Ndugu ‘Zero Hours’, kwa kweli nakushauri upate utulivu wa nafsi ili uielewe dunia na binadamu vizuri. Binadamu ana uwezo wa fikra, kwa Kiingereza unaitwa ‘theory of mind’. Huu ni uwezo wa akili kutambua kijamii (cognitive social skill) kwamba binadamu wengine wanaweza kuwa na mtazamo...
  15. M

    VoA: Tanzanians resort to "Bogus" steam treatment for Coronavirus

    Ungetegemea VOA wawe wastaarabu na siyo wajinga kama walivyojianika! Hukohuko Marekani tumesikia Rais wao akihamasisha “BOGUS Treatments” nyingi lakini hatukuwasikia wakikejeli kwa mtindo huo. Hivi hawa watu wanafikiri bado dunia iko kwenye enzi za kudharau kila kitu kinachofanywa na Waafrika...
Back
Top Bottom