Recent content by Msukuma Wa Tanga

  1. M

    Lowassa mzalendo wa kweli

    Habari wakuu Mzee lowassa hakutajwa kwenye ripoti yeyote ya ufisadi nchini Makada mbali mbali wa ccm wametajwa katika ufisadi lakini hadi Leo hawaja tumbuliwa na kupelekwa mahakama ya mafisadi Mzee lowassa shikamoo wewe nywele nyeupe,moyo mweupe na kamaadili upo clean Sent using Jamii...
  2. M

    Lissu alikuwa sahihi kusema report ya Prof. Mruma ni "Professorial Rubbish"

    Lissu 1 ni vichwa vya ccm 1000 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    TANZIA: Viongozi wa CUF wafariki kwenye ajali wakitokea Dodoma kushuhudia uapishwaji wa Wabunge

    Hawa jamaa ni wa Muheza tunakaa nao jirani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Mkuu wa Wilaya Karagwe amchapa vibao raia

    Nimeweka Uzi ila video IPO mitandaoni naomba Mwenye video hiyo aiweke hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Mkuu wa Wilaya Karagwe amchapa vibao raia

    Hii imetokea huko kwenye wilaya wakati raia huyo anahojiwa na DC mbele ya polisi DC akamchapa kibao raia mwema Je, kwanini polisi wasimkamate DC palepale kwakuwa ameshambulia?
  6. M

    MAAJABU: Madiwani waliojiuzulu CHADEMA wanaomba kurudi

    Wamepewa hamu ya pesa hawajapewa pesa halisi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    Hata kauli ya "wapumbavu na malofa" 2015 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Wanasheria Zanzibar sasa kusaka njia kujitoa Muungano

    Hhaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Tundu Lissu angeweza kuisaidia sana serikali katika suala la makinikia ya Acacia

    Kwanza anajua English Anawapeleka wahindi wanajua English wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Tundu Lissu angeweza kuisaidia sana serikali katika suala la makinikia ya Acacia

    Tatizo ccm hawapendi ukweli toka Kwa lissu angewakomesha hao wazungu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Majadiliano ya kamati iliyoundwa na Rais kuhusu biashara ya madini na migodi yameanza leo 31/7/2017

    Hawa lazima wawemo kwakua wanazo historical background za michakato ya madini na sharia zake Kwakua ni wazoefu Haaahaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Majadiliano ya kamati iliyoundwa na Rais kuhusu biashara ya madini na migodi yameanza leo 31/7/2017

    Walitakiwa wamchukue prof muhongo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Majadiliano ya kamati iliyoundwa na Rais kuhusu biashara ya madini na migodi yameanza leo 31/7/2017

    Vichwa vya wazungu 10 vs kichwa kimoja cha waziri 1 Hakika tunasonga mbele ila giza Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Lawrance Mabawa amewashauri watanzania kuitumia ibara ya 18 ya katiba kumtaka Magufuli adumu ikulu

    Mabwege duniani kibao Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Lawrance Mabawa amewashauri watanzania kuitumia ibara ya 18 ya katiba kumtaka Magufuli adumu ikulu

    Anataka kupewa cheo aameibuka na kiki hiyo maana ccm wamemsahau Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom