Recent content by Msukuma 94

  1. Msukuma 94

    Kuhusu kozi za misitu na ufugaji nyuki

    Habarini wakuu naomba wenye uelewa wa hizo fani wanisaidie kujua vyuo vinavyotoa hizo kozi pia soko lake kwa kujiajiri lipoje?.
  2. Msukuma 94

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Ivi ni kweli wanaopitia mafunzo ya mgambo hupata nafasi kujiunga na jeshi?
  3. Msukuma 94

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    nani kasema wataajiri kwa umri huo? pia ikumbukwe JKT haijiri bali hutoa mafunzo kwa vijana ili waweze kua wazalendo, wajishughurishe na maswala ya uchumi kwa kutumia stadi za kazi walizozipata JKT na kua tayari kulijenga Taifa kwa moyo.Kupata ajira sio lazima bali nafasi huwa zipo.
  4. Msukuma 94

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    naomba kuuliza jambo ndgu zangu. Kwa mwenye elimu ya kidato cha sita anapaswa kuambatanisha vyeti gani wakati wa kutuma maombi, je ni vya form six na kuzaliwa pekee au na cha darasa la saba na vya form four?
  5. Msukuma 94

    Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    naomba kuuliza jambo ndgu zangu. Kwa mwenye elimu ya kidato cha sita anapaswa kuambatanisha vyeti gani? je, ni vya kuzaliwa na vya kidato cha sita pekee au hadi na vya form four na darasa la saba?
  6. Msukuma 94

    Special thread: Wilaya zilizo fungua dirisha la maombi ya kujiunga na JKT kwa utaratibu wa kujitolea kwa mwaka 2017

    naomba kuuliza km muombaji ni wa kidato cha sita.... je anatakiwa kuweka vyeti vya kidato cha sita na cha kuzaliwa pekee? au hadi vya la saba na form four
Back
Top Bottom