Special thread: Wilaya zilizo fungua dirisha la maombi ya kujiunga na JKT kwa utaratibu wa kujitolea kwa mwaka 2017


Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Messages
1,859
Likes
1,640
Points
280
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2015
1,859 1,640 280
Kama kinavyo jieleza kichwa cha habari hii ni thread maalumu ya kupashana habari kuhusu wilaya ambazo tayari zimesha anza kupokea maombi ya kujiunga na JKT kwa utaratibu wa kujitolea kwa mwaka 2017.

1. Wilaya: Siha, Kilimanjaro.
Mwisho wa kupokea maombi: November 10, 2017
Kutazama tangazo pakua nyaraka ifuatayo; Bofya HAPA

2. Wilaya: Rufiji, Pwani.
Mwisho wa kupokea maombi: November 13, 2017
Kutazama tangazo pakua nyaraka ifuatayo; Bofya HAPA
 

Attachments:

Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Messages
1,859
Likes
1,640
Points
280
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2015
1,859 1,640 280
3. Wilaya: Simanjiro, Manyara.
Mwisho wa kupokea maombi: November 13, 2017
Kutazama tangazo pakua nyaraka ifuatayo

4. Wilaya: Mbulu, Manyara.
Mwisho wa kupokea maombi: November 14, 2017 Saa Tisa na Nusu (9:30) Alasiri
Kutazama tangazo pakua nyaraka ifuatayo
 

Attachments:

kadagala1

kadagala1

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2016
Messages
5,605
Likes
5,105
Points
280
kadagala1

kadagala1

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2016
5,605 5,105 280
Dar vipi
 
amaizing grace

amaizing grace

Member
Joined
Sep 24, 2014
Messages
41
Likes
25
Points
25
Age
24
amaizing grace

amaizing grace

Member
Joined Sep 24, 2014
41 25 25
Wilaya ya Arusha mjin nayo tayari washaanza
 
Msukuma 94

Msukuma 94

Senior Member
Joined
Apr 21, 2017
Messages
134
Likes
89
Points
45
Msukuma 94

Msukuma 94

Senior Member
Joined Apr 21, 2017
134 89 45
naomba kuuliza km muombaji ni wa kidato cha sita.... je anatakiwa kuweka vyeti vya kidato cha sita na cha kuzaliwa pekee? au hadi vya la saba na form four
 
T

Thomas segeja

Member
Joined
Nov 10, 2015
Messages
20
Likes
15
Points
5
Age
27
T

Thomas segeja

Member
Joined Nov 10, 2015
20 15 5
naomba kuuliza km muombaji ni wa kidato cha sita.... je anatakiwa kuweka vyeti vya kidato cha sita na cha kuzaliwa pekee? au hadi vya la saba na form four
Unatakiwa uwe na cheti cha kuzaliwa cheti cha form six leaving ya form six cheti cha form four na leaving ya form four
 
W

Walyobahamza

Member
Joined
Oct 23, 2016
Messages
31
Likes
16
Points
15
W

Walyobahamza

Member
Joined Oct 23, 2016
31 16 15
JAMani mwenye taarifa au tangazo la usahili wilaya ya kinondoni-Dsm aniambie plz
 
magige Dm

magige Dm

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Messages
526
Likes
1,072
Points
180
magige Dm

magige Dm

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2017
526 1,072 180
Eti nauliza ,kwa wanafunzi waliomaliza mwaka Jana na mwaka juzi form 4 mlipewa leaving certificate???
 
dedon

dedon

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Messages
1,420
Likes
1,686
Points
280
dedon

dedon

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2015
1,420 1,686 280
naomba kuuliza km muombaji ni wa kidato cha sita.... je anatakiwa kuweka vyeti vya kidato cha sita na cha kuzaliwa pekee? au hadi vya la saba na form four
weka na form four...la saba sio lazma

cha la saba kinakua umuhim kama uliishia la saba
 
Lissa lee

Lissa lee

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Messages
184
Likes
203
Points
60
Lissa lee

Lissa lee

Senior Member
Joined Jul 18, 2017
184 203 60
naomba kuuliza km muombaji ni wa kidato cha sita.... je anatakiwa kuweka vyeti vya kidato cha sita na cha kuzaliwa pekee? au hadi vya la saba na form four
sorry ,, ndugu anangika anakosa ushaur,, msaidieni,, ameishia la saba 2009,, na ana chet cha kuzaliwa tu,, anaweza fanikiwa au ndo cheti chake kime expire
 
Maxmizer

Maxmizer

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
3,961
Likes
3,269
Points
280
Maxmizer

Maxmizer

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
3,961 3,269 280
hivi huwa wanaweka idadi ya watu wanaohitajika kila wilaya??
 

Forum statistics

Threads 1,236,483
Members 475,125
Posts 29,259,448