Recent content by Msuele

  1. Msuele

    Maajabu ya kitabu cha babu

    Subr stor ishe acha fitina ww
  2. Msuele

    Maajabu ya kitabu cha babu

    Madrasa hawafundixh uchaw ila ungesubir stor niimalizie iliujuw alikuw ninamaanish nn
  3. Msuele

    Maajabu ya kitabu cha babu

    Miaka 15 nyuma iliyopita nilikuwa nikiishi na babu yangu, ambaye alikuwa ni matibabu wa matatizo ya kiswahili, alifanya kazi hiyo kwa muda mrefu sana na alikuwa akinishirikisha katika tiba zake, mimi bila kuelewa alikuwa akimaanisha nini kunikaribisha katika shughuli zake na hali ya kuwa mimi na...
  4. Msuele

    Mpenzi wangu anaota anaingiliwa kimwili usiku

    Hilo ni jin mahaba na lina madhara meng tu hata ww ulie karbu yk unawez kupata shida na hilo.
  5. Msuele

    Angela Kairuki: Zaidi ya walimu 5000 waingia mitini

    Huenda yuko sahihi kwa upande mmoja, au pia asiwe sahihi hata kidogo. Ila mimi naona kuwa tatizo la hao walimu 5000 kutojitokeza sio kwa sababu ya vyeti feki. Au labda watoe takwimu, tangu waanze kukagua vyeti feki wamepata vingapi??! Ili tuweze kufanya comparison. Utaratibu wa utumaji wa vyeti...
  6. Msuele

    Ndoa ya kiislamu: Alimuacha mkewe, anataka nimuoe alafu nimuache amuoe tena

    Unajiita muislam wakati hata misingi ya dini hujui? Wanakurupuka sana hawa jamaa Mkuu
  7. Msuele

    Ndoa ya kiislamu: Alimuacha mkewe, anataka nimuoe alafu nimuache amuoe tena

    Ongea nae kk, asikurupuke.. Mimi nshanotice tatizo
  8. Msuele

    Ndoa ya kiislamu: Alimuacha mkewe, anataka nimuoe alafu nimuache amuoe tena

    Vijana wengi mnapoambiwa msome dini mnakimbia madrasa, matatizo ndo kama haya... Mnachukua maamuzi kwa kusikia sikia. TALAKA TATU maanake ni kumuacha mke mara ya kwanza, halafu ukamrudia, then ukamuacha tena, halafu ukamrudia..sasa hapa ukimuacha tena ndo huruhusiwi kumrudia mpaka aolewe na mtu...
  9. Msuele

    Ijue nyota yako na inavyoweza kuwa sababu ya kutokuwa na mahusiano imara

    Jina gani lenye details zilizokamilika hapa napaswa kulijibu?
  10. Msuele

    Ijue nyota yako na inavyoweza kuwa sababu ya kutokuwa na mahusiano imara

    Nitumie majina ya mama zenu kwnye cm, ntakwmbia
  11. Msuele

    Ijue nyota yako na inavyoweza kuwa sababu ya kutokuwa na mahusiano imara

    Majibu gani? Maana hapa kuna mengi ya kugundua..
Back
Top Bottom