Recent content by msubhe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Kwa Umejibu kama mtoto asiyejua maana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Unatoa hoja kisomi I like it
  3. M

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

    Ngapi huko
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    Still una copy za draft na ni sh ngapi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum Feitoto amekosa mzazi

    Were ni mchawi maana hill neno limekukaa au labda huna elimu maana kwa MTU aliyeenda shule kwa alilotenda fei ni kosa kubwa na alipaswa akemewe na atafute njia sahihi ya kuondoka
  6. M

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum Feitoto amekosa mzazi

    Samahani kwa kujibu text yako nimeona kama nuts zako zimefunguka hutafakari bali unajijibia tuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum Feitoto amekosa mzazi

    Naona hutumii akili katika kufikiri simba walimuuza samatha na hawakumuachia na kama fei kapata timu aimbie iende mezani kuongea na yanga and dat's professionalism sio ngonjera zako Mpira ni biashara
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuliwaambia kugusa NATO ni kufuru, Urusi ajitetea sana hakuhusika na shambulizi la Poland

    In ww ii mkombozi wa Russia alikuwa marekani akimuokoa toka mikononi mwa Adolf Hitler naamini kwa technology ilivyokua and still USA is heavyweight of da world mengine ni porojo tuu na anautumia ukubwa wake kimkakati sio kupiga piga tuu. It's like una watoto na fujo zao muda mwingine unawaadhibu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kusaidiwa kwa silaha za kivita, inamaana kuwa Mrusi anatambo nyingi kuliko uhalisia?

    Coz hataki technology yake itumike kwa sasa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Anayeweza nisaidia kupata nafasi ya course ya Clearing and Fowarding Diploma

    Naomba msaada kwa yeyote yule anayeweza nisaidia kupata nafasi ya course ya Clearing and Fowarding Diploma nimepata ufadhili now naombeni msaada
  11. M

    JamiiForums Tanzania Clearing and fowarding

    Msaada wadau
  12. M

    JamiiForums Tanzania Clearing and fowarding

    Naomba msaada kwa yeyote yule anayeweza nisaidia kupata nafasi ya course ya clearing and fowarding diploma nimepata ufadhiri now naombeni msaada Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wafanyakazi mkinichagua nitapunguza P.A.Y.E kutoka 18% mpaka 9%!

    Akili kiazi kweli
  14. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wafanyakazi mkinichagua nitapunguza P.A.Y.E kutoka 18% mpaka 9%!

    Kwa binadamu mwenye kutambua mambo haupo coz vitu viko wazi but unabisha stupid
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wafanyakazi mkinichagua nitapunguza P.A.Y.E kutoka 18% mpaka 9%!

    Wanavyosema 11 wanamaanisha wafanyakazi wa kina cha chini ila wengine ni 11 na kuendelea
Back
Top Bottom