Bora wapige soga tu,mbona wabunge wanakomba hela na hamuwafanyi chochote,lakini lawama zote kwa watumishi
Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
Mi mwanamke akisha kuwa na wivu uliopitiliza,unanipa usumbufu Sana wakati mimi simfanyii hivyo,huwa nakata mahusiano!Uhusiano haupaswi kuwa kero hata kama ndo kupenda kwenyewe
Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa ndio zake, fuatilia majibu yake kwenye majukwaa tofauti anapenda kujifanya mjuaji na mjivuni!
Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
Ni kweli hata mi pia nimeona,ishu kama hii nakumbuka hata mwaka flani iliwahi tokea,Hawa jamaa sijui wanatuonaje yaani
Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.