Recent content by msouzi wa kingoni

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukisikia majaribu ndio haya, yupo degree mwaka wa pili, kaitwa kazini serikalini kazi ya Diploma, aghairi au aende ?

    Mwambie aaache ujinga bahati haziji mara mbili aende kazini boom na mshahara kipi Bora ahairishe masomo aende kazini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    Umenena mkuu kwani kama ulikuwa unajua fika hauna connection kwann uliomba kazi anataka kuwakatisha watu tamaa tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

    Uzalendo wakuwalinda watawala hapo sawa🤣🤣🤣🤣
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

    Na nahisi hata JD zao zimebadilika wale wa enzi za mwalimu walikuwa very committed na nchi Yao Hawa wa saizi wanataka tuwe tuna sifu na kuabudu tu ukienda kinyume wanakushughulikia🤣🤣🤣
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

    Halafu wote wanakula Kodi zetu tu wasituchoshe bhana🤣🤣🤣🤣
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

    Atuambie kwanza je DSO na RSO Hawa ni wafanyakazi TISS au ma agent na kama ni wafanyakazi wa TISS mbona wanafahamika lakin pia na wale walio chini yao ni ma agent au wafanyakazi wa TISS mbona tuna wajua? Halafu pia huyo jamaaa inaonekana anaujua vizuri mfumo wa TISS anijuze tu mishahara Yao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

    Halafu ni ushamba tu,kusujudia kazi ya mtu mwingine ambayo haikusaidii wewe na familia yako, nchi inaliwa na wao wapo busy kweli kushona Kaunda suti, na kutufuata vijiweni kutusikiliza et nani tunampiga spana ndio kazi wanazozifanya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

    Nakuunga mkono mia Kwa mia. Kuna DSO mmoja wilaya flani alikuwa anajiona sana et anakuja bar akipata Malaya pale akagonga basi mtu mwingine akimchukua Kwa siku nyingine mwamba ananyoshea watu bastola, kiufupi alikuwa mshamba sana,sijajua malipo Yao ila naamini watumishi wa umma mishahara ndo Ile...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

    Na akijianika yeye kosa la nn 🤣 🤣
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

    Duuuuu mwanangu mpaka kuwa tomber🤣🤣🤣🤣🤣
  11. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watumishi wa St Marys Secondary Mbezi hawana mikataba ya kazi

    Siwalaumu kufanya kazi katika mazingira hayo lakini niwajuze tu hakuna kada inayodharauliwa kama kada ya ualimu na walimu wenyewe Kwa ujumla. Waajiri wana vibuli sana ukidai haki zako unaambiwa kwanza Kuna walimu wengi mtaani, kwa hiyo walimu masikini waliosota kitaa wanaamua kuishi katika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

    Tatizo lilianzia kwenye ufadhili wa USAID kwenye nchi zetu za afrika hususani TZ vijana wameleft group wameanza kuvutiwa na wanaume warefu😂😂😂😂 tunakushukuru sana TRUMP mwakalobo Kwa kulifuta Hilo shirika
Back
Top Bottom