Kiongozi ambaye hakuwa mlafi (South East Africa, forget abuot the rest of Africa) ni JKN.
Alipo rudi nyumbani (tutakwenda wote)ikawa ni kula nchi hapa kwetu.
Majirani zetu!
Museveni, Kibaki, Arap Moi, Kaunda, Mugabe, Chiluba,Sam Nujoma na wengine zaidi wote walafi tu na wanaendelea...