Watawa walifukuzwa kipindi hiki cha uongozi mpya
Jimbo lake
Br. Godfrey
songea
br. damian
songea
br. elia
mbinga
br.dionis
mbinga
br. matias
njombe
br. jerome
songea
br. viktor
mtwara
br. patrik
mahenge
br. pio
songea
br. francis
zomba
br. placido...
Nakubaliana nawe kuwa hizo ni hisia na tuhuma. Kawaida vyombo vya dola kunapo kuwepo tuhuma nzito kama hii ya mauaji, huwashikilia watuhumiwa au huwahoji kwa kina. Vyombo hivyo havija fanya hivyo. Hilo halinishangazi, kama kweli Fr. Fidelis alitoa milioni 30 kumfunga Br. Aidan, halafu halipo la...
Moma2k na Candid Scope,
Kwa nini tangu niposti mistari hii mmepotea moja kwa moja. Nilijua tu ni mbinu za kupoteza malengo na ufanisi wa kuwapata wauaji wa Prof. Mwaikusa. Nimesoma gazeti la jana, sasa namcheki prior wangu Fidelis humu humu ndani nione reaction zake. Kama hawa jamaa...
Mohamed Ngwasu
Umenikumbusha huyu Fr. Fidelis miaka ile ya 2001 alimwandikia barua chafu mno Br. Edmund wakati huo akiwa ameshikilia umakumu wa pili katika shirika hili. Barua hiyo ilimchukiza edmund akaamua kuwasambazia watawa wote na kisha akaachia nafasi zote za uongozi alizokuwa amashika...
Moma2k na Candid Scope,
wote mabandiko yenu yanatokea humu ndani abasia ya Peramiho. hebu toeni kitu kuhusu koti hiyo hapo juu. Kama hoja hii ipo mbali na mauaji ya Prof tujibuni.
Nasubiri kusoma gazeti la jana. Nakala ipo njiani kuja Peramiho. Hebu tuone mambo yakoje.
kama hamuhusiki na kifo...
kamajuzi,
ile gazeti ya Majira huyu mafya Fr Fidelis alisema eti shirika lilikuwa na hisa tangu 1990. Mwongo saanaaa. unajua nini, mwaka 1990 ukanda wa kusini ilikuwa marufuku kuchimba madini. Kule Lukarasi kulikuwa pori tu, tena nimechunguza kwa kina: alikuwepo mzee mmoja ambaye ndiye...
Raia Mwema aliandika: "Kwa mujibu wa taarifa hizo, Profesa Mwaikusa naye alikuwa ameteuliwa kuwa mmoja wa wawakilishi wa shirika hilo kwenye mgodi huo wa dhahabu, kwa barua ya Agosti 12, 2003 iliyowekwa sahihi na Buruda Aidan na Buruda Edmund wote wakionyeshwa kuwa na hisa 2000."
Hii inaashiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.