Recent content by Msomi njaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mwalimu naomba 2badilishane kituo cha kazi.

    mwl wa sec. Anayetaka kuja mbulu mjini tuwasliane, mim nataka nihamie arusha meru 0757412929
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Unaweza kuja meru?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi (WAFANYAKAZI WA SALUNI YA KIUME (BARBERSHOP)

    Nipo arusha nina uzoefu, nipe details za kutosha.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Elimu na siasa kama mapenzi na shule

    Hakuna kitu kibaya kama kuchanganya siasa na mambo muhimu ya kijamii kama hayo, ni bora wangekaa kimya kuliko kusema mambo wasiyoyaweza!
  5. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya ualimu wa sekondary.

    we subir akikupgia muulize we n nani, aahah! Ucjali lakn tunafurahishana tu, tukiwa hatuna kaz
  6. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya ualimu wa sekondary.

    Msubiri mulugo atakupigia, sawaee!
  7. M

    JamiiForums Tanzania RE: NAWAOMBA WATANZANIA MNISAIDIE KAZI PLZ NINA Msc ya IT

    funguka ueleweke, unakuwaje ww?
  8. M

    JamiiForums Tanzania RE: NAWAOMBA WATANZANIA MNISAIDIE KAZI PLZ NINA Msc ya IT

    asante, lakn sijakusoma sana ukaribisho wako!
  9. M

    JamiiForums Tanzania RE: NAWAOMBA WATANZANIA MNISAIDIE KAZI PLZ NINA Msc ya IT

    Mbona hiyo fani yako kaz zinapatkana sana, inawezekana wanaogopa hiyo masters yako, ucjal utapata tu, gata ukipata mshahara wa chini ni bora ufanye huku ukiendelea kucheck kwenye mshahara mkubwa zaid, ni bora kutafuta kaz ukiwa kazin kuliko ukiwa jobless, zaid ya yote pole sana kwa matatzo ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waalimu wapya tunapostiwa lini?

    alichosema yy n kwamba ajira zitatangazwa wakati wowote, endeleeni kusubir, sasa kuna watu walipata tetesi kuwa itakuwa mwez wa tano!! Sasa kama una kaz ya kufanya umepata we fanya tu!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waalimu wapya tunapostiwa lini?

    Hakuna ajuae ila mulugo tu!
Back
Top Bottom