Quotes za blog hazi prove guilt kwa mh. Mwanaharakati Lema kuwa ni mwizi.. km ameisha kuibia nenda mahakamani ndio chombo pekee kinacho deal na hizo mambo achaaaaa uf*** we ni mtu mzima
Arusha wako active Sana kulinda kula, we ukuona faulo zilifanywa na CCM kwenye uchaguzi mdogo wa arumeru? Lakini wafusi wa chadema wakastukia? Haki haipo katika uchaguzi Tanzania kila Mtu anajua hilo mkuu
Asilimia kubwa ya majimbo waliposhinda wapinzani ni kutoka name ushupavu wao Wa kulinda kula Zao.. bado uchaguzi sio kigezo cha kuprove kuwa candidate flani hakubariki ktk jamii flani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.