Mimi kwa experience yangu nliushobokea mji wa Katoro kwa story kama hizi za mji wenye fursa nikahama zangu dar, lengo lilikuwa ni kufanya biashara ya nafaka ila muda nilipofika ilikuwa nimepishana na msimu Yani alifika July na mavuno ni April sasa nikapata wazo la kufungua grocery maana huko...
Mimi nimekuwa nikifanya biashara ya kuuza kuku muda mrefu ila localy Yani masokoni kwa kununua kwa jumla na kuuza rejareja, katika kutaka kutanua wigo wa soko langu yani kupata wateja wapya nikaona acha nianze kujitangaza kupitia instagram ila huko nako kwa muda niliokaa nimejifunza / nimegundua...
May be I'm old fashioned or too old for this kind of hygiene but real men don't trim their pubes... I mean what are you trimming your pubes for,
That's Gay shit bruv
Oyaaah nimepiga kura mara tatu na mara zote nimechagua wapinzani ila wameshinda CCM hawa wapuuzi kuwatoa sio rahisi kihivyo ndio maana nawakubali sana Jatu na mr kuku
WaTz msiwe serious sana maisha ndio haya haya si tunakula bia APA hii thread imenipa connection nimefatwa pm imeñipa bia na michongo nimepata... Nyie mnaosema bado sijasema mara hii thread ya kipumbavu kaa humo 💩
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.