Recent content by Msolin

  1. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Nini kifanyike ili kuondokana na tatizo hilo je kuna uwezekano wa kuyatoa mapepo hayo?naomba msaada wako tafadhali ikibidi nipe Namba yako kabisa Acha sisi tunaosumbuliwa wajuzi watusaidie
  2. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mtu mzito kwenye nyumba ya ndugu yangu huwa kuna tokea mikwaruzo juu ya paa mithili ya matawi ya miti yanapogusa bati halafu baada ya siku mbili kimya tena baada ya siku kadhaa kunatokea mlio juu Ya bati kama mtu karusha jiwe then inatokea kama kitu kinagonga mbao hivi ni vitu gani hivyo mana...
  3. M

    Sizonje usicheze reggae kwenye blues, unakosea..!!

    Ama kweli nyani haoni Kindl[emoji115]
Back
Top Bottom