Recent content by Msisina

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huduma ambazo siwezi kumfanyia mwanamke yeyote yule hapa duniani

    [emoji28][emoji28] Chief mwenye stress! wewe unatakiwa uwe nao hao makumi kwa mamoja kama mwenzio Mswatiy. Sasa veve mbona waenda tofauti sh33!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Anguko la uchumi laja Tanzania

    Kama uliwasaidia wakulima kununua mbolea ya shilingi Laki kwa mfuko shawishi kuzuia Chakula kisitoke nje
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Ayman Al Zawahir kimeniuma sana

    Leo taarifa ya madaktari wa vichaa 'Pyschatrist' kutoka Hospitali ya Taifa Milembe wamesema kuwa; kila watu nane, mmoja ni Kichaa ambaye bado hajalipuka!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukali wa Maisha: Wananchi waiomba Dstv ipunguze vifurushi vyake

    Nilitaka ninunue DStv Leo ili nijiandae na World Cup, itabidi nisikilizie kwanza bei mpya ya ving'amuzi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Badala ya kuwaondoa trafiki wanatakiwa waongezwe na kuwaongezea mafunzo

    Idiot! Ukinunua gari utajua linalozungumziwa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

    Ni muda umefika wizara ya elimu ianzishe Somo la Saikolojia kuanzia shule za msingi. Hapo mambo ya ushauri nasaha na unasihi yatafundishwa kwa undani na watu wengi watapata elimu ya kujitambua uwezo na udhaifu wao na hivyo kuweza kujichukua wenyewe (self) bila kutoa madhara kwao na kwa wengine.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wakristo (baadhi) acheni Ulalamishi kuhusiana na Jersey za Yanga

    Nadhani Kama Kuna viashiria vya ubaguzi hiyo jezi itasitishwa, kwani wapenzi wa timu hiyo ni zaidi ya jezi zinazotengenezwa kila mwaka!
  8. M

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Nimeshtushwa kwa viashiria vya ushoga mashuleni

    Soma Mwanzo 1:1-35, kazi ya uumbaji wote ilishakamilishwa na Mola. Msimpe ushindi anayeiga matendo mazuri ya Mwenyezi Mungu kwa kuyafanyia ubaya ili yawe ni chukizo!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Walimu jifunzeni kuweka akiba ya pesa na kuacha tamaa

    Duh, pole Sana mpwayungu, endelea kumbembeleza huyo jirani yako teacher atakukatia kamshiko kidogo ili na wewe upate nafasi ya kuumwagilia Moyo. Maana waswahili wanasema aisifiaye mvua Basi imemnyea. Wewe umekosa hiyo ajira kwa upumbavu na ujinga wako ndio maana unawahi benki kuwapiga picha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Walimu msiilaumu CHADEMA!

    Maandiko yanasema ' Ole wake yule amtukanaye aliyempa elimu na Sasa yu mjuzi kupitia maarifa aliyoyapata kwayo'. Ana laana maturubai [emoji1787][emoji28]
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vipi mshahara wa Julai umetoka? Je, kuna mabadiliko yoyote?

    Wale wastaafu wanakutana leo na Kiongozi, sijui watazungumzia kikokotoo?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi kutemwa kwenye ajira za Sensa 2022 ni jambo la afya sana

    Hapana! ukianza kulamba utanogewa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kumleta Mwekezaji wa Parachichi ni kufinya ajira

    Kwahiyo mnunuzi anakuja kulima, Sasa huyu mkulima mdogo mzawa asiye na fedha ya mtaji wa kuendeshea kilimo ili anunue pembejeo na vifaa kazi atafanyakazi gani ? Hakuna haja ya kulalamika Ila inabidi nao walindwe kwa kuwezeshwa mitaji kwakuwa wao ndio wenye ardhi na ndio wakulima wa asili wa zao...
  14. M

    JamiiForums Tanzania TMA: Viwango vya Joto Njombe, Iringa na Mbeya kufikia 4°C

    Leo mchana nilikuwa Njombe town, kwakweli hali ya baridi sio utani, mchana wa saa sita baridi ni kwamba inaunguza ngozi utadhani umelala usiku juu ya bati
  15. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ukomo wa Utumishi wa Umma uwe miaka 10

    Pole, endelea kujituma kwa kujiajili utatoboa tu. Ajira rami inataka watu watakaofanyakazi kwa muda mrefu il kupata tija ya uzoefu wao kiutumishi. Ndio maana hata mwajiliwa mgonjwa wa muda aondolewi kirahisi kazini mpaka ikathibitishwa na Jopo la madaktari wabobevu kuwa hawezi kabisa kuendelea...
Back
Top Bottom