Recent content by msingikiuno

  1. M

    Mwezi umeonekana Saudia

    Kesho sikiliza BBC utajua kwamba nchi nyingi dunian zinasheherekea kesho in wabinafsi wachache watasheherekea jumamos
  2. M

    Mwezi umeonekana Saudia

    Uelewa wako kabla ya teknolojia na LEO hii ni muda gani umekuwa zaid?sasa hivi kusoma Dini ni rahisi kuliko zaman lakin pia mashekhe wazaman walikuwa waadilifu sana LEO hii utaambiwa rais ameshapewa mwaliko wa baraza LA idi bila kuzingatia mwezi utaandama lini.sasa rais hawez kubadili ratiba...
  3. M

    Mwezi umeonekana Saudia

    Mm nakata kila nikijickia shemeji yako yupo ndan tatizo nn
  4. M

    Mwezi umeonekana Saudia

    Mjusi kazi take kubanwa na mlanho hahaha natania
  5. M

    Mwezi umeonekana Saudia

    BAKWATA C CHOMBO HURU SAUDIA NDO KILA KITU SAWA NA VATICAN KWA WAKATOLIK TENDE MKILETEWA MNAKULA,HIJA MNAKWENDA HUKO,MASOMO YA DINI HUKO,MISAADA YAO MNAPOKEA kwenye mwezi ndo mnakuja misimamo ya ajabu chombo huru redio na TV iman ishatangaza fungulia uckilize takbira naomba unialike kwako hapo...
  6. M

    Kumbe Amina na Kikwete wametoka mbali

    Tuwe wakweli hivi wewe ukiwa rais na muda wako wa uongozi unaenda ukingoni hutakuwa na ushawishi kwamba nam unaamin atarithi mikoba yako?
  7. M

    Kumbe Amina na Kikwete wametoka mbali

    Tuwe wakweli hivi wewe ukiwa rais na muda wako wa uongozi unaenda ukingoni hutakuwa na ushawishi kwamba nan unaamin atarithi mikoba yako na kuendeleza Yale unayoyaoona mazur.fahamu Nyerere alipendelea Mwinyi awe raid sababu tu aliwajibika pindi akiwa WAZIR wa mambo ya ndani,Mkapa alimpgia kampen...
  8. M

    Mmiliki wa mabasi ya J4 apiga wawili kwa risasi

    Inawezekana hao wrote ni waharifu walishazinguana how it comes from no where u kill 2 pipo on the spot acha sheria ifanye kaz take he ukiambiwa waliouawa n majambaz sugu.so halalishi kuua ila tusijipe vitengo vya usalama wakati hatuna fani hiyo tusiongozwe na emotions let facts speak themselves.
  9. M

    GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Hats mkuu wa Maya aliwahi kumuuita jamaa ni jembe.
Back
Top Bottom