Recent content by MSIMISEKI

  1. MSIMISEKI

    Kwanini UKAWA wanaonekana kuwa ni muhimu Bunge Maalum la Katiba sasa?

    Ndg mtu wakubishana naye ni Nduka?............fuatilia post zake nyingi utapata picha halisi
  2. MSIMISEKI

    KIKWETE: Awaponda UKAWA

    Tena kwa kasi ya Rocket
  3. MSIMISEKI

    Kwanini UKAWA wanaonekana kuwa ni muhimu Bunge Maalum la Katiba sasa?

    Wakati bunge la mabadiliko ya katiba linaanza UKAWA walionekana siyo lolote ndani ya BMK. Mijadala ilivyoendelea kupamba moto na tofauti za misimamo kujitokeza dhahiri baadhi ya wajumbe waliamua kuondoka bungeni na kuacha mchakato wa katiba mpya mikononi mwa wajumbe walioamua kubaki bungeni...
  4. MSIMISEKI

    Prof. Baregu ndani ya kipindi cha kipima joto ITV

    Hongera Prof wa ukweli
  5. MSIMISEKI

    Live Tbc1: Rais Kikwete anazungumza kuhusu muungano

    Pole kwa ubongo wenye mtindio
  6. MSIMISEKI

    Habari na Picha: Vijana kwa maelfu washiriki matembezi ya Uzalendo na kupokelewa na Rais Kikwete

    Tatizo kubwa mwakani 2015 ni mwaka wa uchaguzi, CCM wameanza harakati za kuendelea kubaki majimboni kwao hiyo ni sababu kubwa ya wapinga s3 kuongezeka wakifikiria kupoteza ubunge badala ya kutazama hatma ya watanzania hasa WATANGANYIKA. Jana nimesikiliza mchango wa makamu wa II wa Rais wa ZNZ...
  7. MSIMISEKI

    Live Tbc1: Rais Kikwete anazungumza kuhusu muungano

    Zanzibar ni nchi athubutu kuingilia mambo ya Zanzibar aone yatakayo mtokea, ni vyema kutambua kuwa Zanzibar ni chi ina Rais wake na mamlaka yake Kikwete hana mamlaka ya kuisemea Zanzibar
  8. MSIMISEKI

    Maskini CCM na ACT

    Ukisikia buuuuuuuuuuuuu ujue imekukosa
  9. MSIMISEKI

    Je, Zanzibar wamechangia pesa za maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya Muungano?

    Yangefanyika ZANZIBAR angepigiwa mizinga
  10. MSIMISEKI

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 23 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge kwa sura ya 1 & 6

    Na mimi natangaza rasmi, zikipita serikali 2 naingia msituni kupambana na KOMBA
  11. MSIMISEKI

    Ukawa ni Moto Mkali

    UKAWA ni chuma cha moto ukikishika unaungua
  12. MSIMISEKI

    TBC,kwa nini hamtaki watu wajifunze?

    TBC unaimiliki wewe na mimi kupitia kodi tunazolipa. Tabia na uhuni wanaoufanya kusema kweli unasikitisha sana, mengi yamesemwa kuhusu TBC lakini imekuwa ni kama kutwanga maji kwenye kinu. Jamii ya watanzania inatakiwa itafute uamuzi wa kuidhibit TBC kwa kuweka mkakati maalumu ikiwa ni pamoja na...
  13. MSIMISEKI

    Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

    Kwa wingi wao ndani ya Bunge kama wameshalitolea maamuzi limeshapita kwa mabavu lakini siku zote wingi wa mchanga hauwezi zuia mchwa m1 kupenya ardhini
  14. MSIMISEKI

    UKAWA Wapuuzwe!

    Nilikuwepo nitarudi naenda msalani.....................................
Back
Top Bottom