Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
Ilianza UKAWA mara tanzania kwanza.................... sasa ni ex-tume members!
picha inaendelea..............
picha inaendelea..............
Wanasheria kama warioba na Baregu sijui wanafanyiwa na nani dessertation na thesis zao. Kama hata hawajui sampling kiasi cha kusema hao waliotaka serikali 3 wanawakilisha watanzania sijui tusemeje. Kama nia yao ni kuwasaidia kina jussa na seif kuvunja taifa wawe wazi. Tunajua zanzibar nani walichukua mashoka na mapanga kujikomboa na utumwa. Kwenye bunge la katiba tumewaona wakitoa msimamo wao kwa hasira na jazba kubwa kuwapinga wale wanaotaka kuvunja muungano. Sasa kama unafikiri watu hao ni wachache znz ujue unafanya makosa makubwa.prof baregu akichambua rasmu ya katiba ambayo yeye alikuwa ni mjumbe wa katiba. Kasema viongozi wa tz ni wanafiki, watu wanaopenda kujipendekza na kuacha uongo utawale. Kasema kinachofanyika kwa sasa ni kuchochea wananchi waichukie tume. Kama machafuko yatakuja apa nchini kasema wale wanaopinga maoni ya wananchi basi watabeba lawama hii chama tawala na serikali yake. Kila mtu anataka maoni yake yawemo kwenye katiba, lakini ata yeye aliyekuwa kwenye tume, maoni yake hayakuingizwa baada ya mchakato mzito. Mwisho kasema bunge maalumu la katiba limeenda kuidhinisha matakwa ya wananchi na si kutengua kile walichopendekeza waananchi. Nimetafuta line ili nimuulize prof baregu, je mh. Dr mwakyembe na prof shivji wako sawa kulingana na taaluma yao kwamba wanapendekeza serikali 2?
Mmh, kwani ile ID iliyo RIP ni ipi?
Hata mie nimestuka????
hapo sawa.,,mana vidole vilishaanza kukimbia batan!!!!!Ni Kanjunju mkuu, tofautisha penye n na pasipo na n.
Wasomi kama prof baregu ndio wanafaa kupew nafasi za uongozi ku replace wale wanao kwenda kanisani
Wanasheria kama warioba na Baregu sijui wanafanyiwa na nani dessertation na thesis zao. Kama hata hawajui sampling kiasi cha kusema hao waliotaka serikali 3 wanawakilisha watanzania sijui tusemeje. Kama nia yao ni kuwasaidia kina jussa na seif kuvunja taifa wawe wazi. Tunajua zanzibar nani walichukua mashoka na mapanga kujikomboa na utumwa. Kwenye bunge la katiba tumewaona wakitoa msimamo wao kwa hasira na jazba kubwa kuwapinga wale wanaotaka kuvunja muungano. Sasa kama unafikiri watu hao ni wachache znz ujue unafanya makosa makubwa.
Mkuu tatizo la Prof.Baregu ni kwamba hajui kiujikomba kwa watawala.
Hata mie nimestuka????
HUYU BAREGU ni miongoni mwa wale MANABII WA UONGO.
na kwa sababu SIKU ZOTE KWELI ITASIMAMA.....
Nina hakika kabisa BAREGU NA MANABII wenzake WATAAMGUKA..... ANGUKO KUUU.
Hello hello TANZANIAAAAAAAAAAÀAAAAAAAA
Kama lissu mnachojua ni kutukana na kudhani mnayo monopoly kutoa mawazo. Sijui kwa nini mnajiamini na kua na hakika na mambo ya ovyo.nani kakwambia baregu ni mwanasheria...tatixo letu ni fikra za kitumwa mlizo nazo..kutumia midomo yenu kusema mlioambiwa badala kutumia vichwa na akili zenu kuelezea mnayoaamini..kujifanya wasomi na watalaam kumbe elimu zetu za mpakazo..elezea unachoamini kwa ushahidi wa kitafiti siyo kutema mapovu ya ----- wa wanaotawala fikra zako...uhuru wako ndio thamani yako,,,lakini utumwa wako ndio hatma yako