Recent content by Msimamo88

  1. Msimamo88

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mm sielewi wakuu nimepiga Pepa Interview zote mbili A MDSs & LGA, Accounts Officer (kwangu ilikuwa rahisi mnoo..) na Auditing Officer II (ilikuwa ngumu kiasi) maajabu sijaitwa hata accounts officer na nauhakika nimeifanya vizuri mnoo
  2. Msimamo88

    Wakuu njooni tujuzane hapa kuhusu Azam Tv

    Naomba kujua natakiwa nifanye nn?? Baada ya kulifunga dish nikakaa ili nipate channel
  3. Msimamo88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa kama huu mkeka mechi kumi na tisa (19) unakuwa na jumla odds ngapi??? Maana nimeona odds 1.06 1.0X ??? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Msimamo88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    KAKA EMBU NAMBIE WW UNAWEKAJE MECHI KUMI NA TISA (19) AU KUMI NA SITA (16) na unampiga MHINDI ...... MAANA NINA HASIRA NAE HUYU FALA MHINDI BASI TU..... NAMBIE UNAWEKA 2+ ZOOOTE AU NORMAL WIN AU FOUBLE CHANCE Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Msimamo88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kupitia TIPS zipi kaka nionyeshe na mm nijaribu mapema Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Msimamo88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wajameniiiii anayeelewa anijibu???
  7. Msimamo88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani naomba kuuliza HAWA BETPAWA unaweza kuuza mkeka au ku turbo Nikimaanisha unaweza kuchukua hela yako kabla mechi haijaisha na mnahisi hawa jamaa wanaweza kuwa mbadala wa 1Xbet????
  8. Msimamo88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    JAMAA AMEELEKEZA VIZURI SANA SANA SANAAAA, kama unajua unachofanya na ukafwata maelezo haya naamini tutakuwa pamoja BINAFSI KAMA WW SIJAWAHI PATA TAABU YOYOTE NA NAFANYA KAMA HIVYOO
  9. Msimamo88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tunawekaje ili kila dakika tule kama ww??? mtanganjia
  10. Msimamo88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka sasa unamaanisha ni FOOTBALL na ili twende sawa tuwe tunawekaje kila dakika kupiga hela kama weweee!!? mtanganjia
  11. Msimamo88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa mechi zipi?? na ODDS ngapi??? Kuna kiwango cha juu mbona anaandikaga cha kuweka ukizidisha hcho lazima akukatalie
  12. Msimamo88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa ndo utuambie ww unaipatia sehemu gani? Tuitafute aiseee Void ab initio
Back
Top Bottom