Recent content by msimami

  1. M

    CHADEMA Chukueni hatua dhidi ya Dr. Slaa na Mzee Mwanakijiji haraka sana

    JATELO1 Mkuu tatizo lenu hamtaki kuamini kuwa siasa na sanaa pia,mnapigwa hivo kwa kuishia kulalamika halafu baadae mnakuja kulaum na baadae pia kuzikana lawama zenu,kuna watu huku hatujaamua tunawatizama tu so ni muhim kwa kupambana kwa hoja na si kelele mkuu.HAKUNA HAJA YA KUSEMA DR SI...
  2. M

    Usombaji watu wakera makatibu

    sasa kuna haja ya kuyaamini maneno ya mzee mkapa kuwa ni m....la na m.....fa
  3. M

    Lowassa mikoa 26, mikutano 104, Magufuli mikoa 20, mikutano 180, Yupi dhaifu?

    hilo ndilo linalowapoteza wapinzan,magufuli amewin sana kuwafikia wananchi wengi
  4. M

    Askofu Gwajima amuonya Abdalah Bulembo na CCM waache kumchokoza mara moja!

    mkuu umetisha,jamaa akiitwa tu stamina zinakatika
  5. M

    Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!

    kula like mkuu,siasa zinawahribu sana waandish wetu,wanabaki kuwatumikia wanasiasa
  6. M

    Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!

    asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri,kuna comment kafananishwa et na kubenea,vp kuna uwiano kweli au ni kumpunguzia credt,kweli yeye amewahi kukana maandish yake kama hawa wa sasa?
  7. M

    Wanasayansi: Hivi kundi la watu/wanyama eneo la wazi wanaweza maliza hewa ya Oxygen?

    wale wa mecca hawaf kisa hewa wale hukanuyagana kwa sababu ya udogo wa eneo na wengi hupenda kufika kwenye maeneo asilia hvyo kuongeza msongamano,pia baada ya kutupa vijiwe huondoka haraka hivyo kutoa mwanya wa kukanyagan
  8. M

    Mwenye Picha ya Lowassa akiwa na Hayati Mwalimu Julius Nyerere

    noo sema tumeanza kufaidika na wiz wake kama mlivyokuwa mnafaidika nyie akiwa ccm
  9. M

    Lileteni faili la Lowassa tulichambue haraka

    well said mkuu,wengi hapa jamvin ni watu wa mihemko tu,
  10. M

    Wananchi tumeshaamua kumchagua Magufuli .. Ukawa nao wawe wabunifu

    ha haa kwa hiyo asiyempigia lowasa sio mtz,
  11. M

    Lowassa katika kashfa mpya! Ni ya uuzwaji kiholela wa UDA

    Huu ni utamaduni wenu wanasiasa hata kabla hajaamia UKAWA ukawa walimuita fisad papa leo ni shujaa,amin usiamin mtaji mkubwa wa wanasiasa tz ni ujinga na uvivu wa kufikir wa watz,leo ccm kumtuhum lowasa ni upuuz pia kwani wao ndo wamemtengeneza kufikia hapo alipo. Tunahtaji self determination...
  12. M

    Ukweli ni kwamba Magufuli alikataa kata kata boti za Azam kwenda ziwa Victoria

    Mkuu hawa jamaa washazoea ndio mzee kwa hyo lolote linalokatiza vichwani mwao ndo hilo,hajui hata asemalo
  13. M

    Msafara wa wafuasi wa Kafulila wapata ajali, 5 mahututi

    umenena vizur mkuu,hawa watu wakikaa kwenye keyboard zao na smart zao wanahis hiyo ndo tz
  14. M

    Naombeni mawasiliano ya timu ya kampeni UKAWA

    Wakuu ni iman yangu tupo salama katika pilikapilika zetu,kama title ilivyo mimi ni muathirika wa mfumo mbovu wa ccm kias cha kuikosa hata elimu ya chuo kikuu,kwa kunyimwa mkopo bila sababu za msingi,nahtaji kuwasiliana na hawa watu niwakabidhi hata nyaraka(vyeti) kulithibitisha hili naamin tupo...
  15. M

    Jaji Sinde Warioba: UKAWA walitushindanisha na Sumaye nikapeta, lakini nikakataa

    Mkuu unachosema ni sahih lakini amin muda huu nchi inahtaj watu neutral kidogo ili kusaidia uhuru wa kimjadala na kuona hasa ni upi unastahili kuwa mwelekeo wa taifa,jaribu kufikir namna slaa na gwajima wanavyoteka mijadala ya nchi katika kipind hk muhim kwa mustakabali wa nchi.Je mijadala yao...
Back
Top Bottom