Recent content by msilala

  1. M

    Je Tanzania bado kuna shule za vipaji?

    naomba kuuliza kama bado tanzania kuna special schools kama miakaya tisini akina mzumbe,kibaha na tofauti zao na shule za kata
  2. M

    je kuishi na mwanamke miezi sita inatosha kuwa ndoa kamili

    nimekuwa nikisikia kuwa mkiishi kinyumba na mwanaume au mwanamke miezi sita kisheria inatambulika kama mke au mumu..msaada
  3. M

    je kuna neno moja la password kwa kiswahili

    mara nyingi nimetafakari haya maneno ya kutohoa kama password kwanini haina neno moja kwa kiswahili badala ya alamaya siri
  4. M

    msaada wa tafsiri

    waungwana nisaidieni tafsirinye neno matamahuluku
  5. M

    Kata ya Nyasura Bunda, Mgombea (CHADEMA) ni Mtoto wa Waziri Wassira

    picha yake plz kama kasalimika kuwa kama baba yake...
Back
Top Bottom