Recent content by Msia

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

    Haswaa raisi wa nchi hii anjulikana ni mmoja tu mana tunautambua maamuz yake ya misimamo katka kuiongoza nchi katika mwelekeo wa uadilifu.Ni Mh Lowasa pekee..
  2. M

    JamiiForums Tanzania KIAPO CHA KUMKATAA LOWASA KAMA RASI 215 soma

    Ni kweli kuwa Mh Lowasa ndio kiongozi mzuri wa nchi hasa kwa sisi vijana hivyo lazima tuchague raisi mwenye maamuzi ya busara sio bora raisi.Hii ndo Tz tuitakayo nchi iwe na kiongozi mwadilifu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kiongozi na wananchi wote wanalalamika

    MH Lowasa anaongea jambo la busara vijana tumuunge mkono sana mana ndio atakayoinua taifa la kesho la vijana ni kiongizo anaejitoa na ana msimamo katika maamuz yake.
  4. M

    JamiiForums Tanzania KIAPO CHA KUMKATAA LOWASA KAMA RASI 215 soma

    Nchi yetu ikiongozwa na Mh Lowasa itanyooka kutakuwa na msimamo mzur wa nchi,tunahitaji kiongozi jasiri na mwenye msimamo wa jinsi ya kuiendesha nchi vyema..hivyo vijana wote tusikubali maneno ya vijana wengine yatupotoshe tuangalie tunataka nchi iongozwe na Rais mwenye maamuz na msimamo
Back
Top Bottom