Recent content by mshukumo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kupata logo(nembo) au ramani za nyumba tuwasiliane

    Mimi Mwidadi M. Msangi...nimechaguliwa mmojawapo wa washindi wa shindano la kusanifu nembo ya mahakama ya rufaa Tanzania. Kupata logo(nembo) au ramani za nyumba tuwasiliane kupitia no 0752450273 or 0716530994
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtaalamu wa Kuchora Ramani ya Mabanda ya Kuku

    kupata ramani nzuri za mabanda ya kuku na kwa bei nafuu nicheki 0752450273 or0716530994
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtaalamu wa Kuchora Ramani ya Mabanda ya Kuku

    kupata ramani nzuri za mabanda ya kuku na kwa bei nafuu nicheki 0752450273 or0716530994
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

    ni Tanzania pekee rais analipwa mil9.5 wakat mbunge analipwa mil11.5........
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

    ha ha ha nikisiaga matamko ya jpm nafurahi sana na ninashangaa pia.... yaan jpm anasema analipwa mil9.5 kweli??? yaan anataka kutuambia kuwa mbunge anamzid rais kwa mshahara maana mbunge analipwa mil11.5.....kweli tz ni nchi ya kipekee.....hongera jpm wa vijiwen watazid kukushangilia na kukuita...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TUCTA na Vyama vya Wafanyakazi, huu ndo muda wa kutetea wafanyakazi. Acheni kuwa mabubu, hali mbaya

    tuache ushabiki usio na tija,mnaoshabikia kuwa kuna watu wanalipwa mil40 kwan hamjui kuwa ktk utumishi kuna kupanda madaraja? labda jpm aprove kuwa wanalipwa kinyume na utaratibu.unategemea kama uliajiriwa na mshaara wa lak3 ustaafu na mshaara wa lak3 wakat unakuwa umesoma course za kuongeza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kuwapunguzia mshahara walio juu ili uwaongezee wa chini ni sawa, lakini...

    jmn watanzania tujifunze kuhoji...JPM aseme kwanza mshahara wake ni shingapi na atashusha shingapi! mbona mwal nyerere alishawa kushusha mshahara wake! kama asipofanya hivo utakuwa ni mwendelezo wa udikteta na historia itamuhukum kama mcc ilivyoanza....sikatai watu kupunguziwa mishahara lkn rais...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli na Muhongo, hii sio confusion?

    kama muhongo anakosea watarekebishana huko mbele,,,,walishaambiwa wachukue maamuzi hta kama n mabaya watarekebishana huko mbele ya safari....#tusiwe wepesi kusahau
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

    wadau mwenye hyo video ya JPM aiweke apa ili tuijadili vizuri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam kufanyika tarehe 22 Machi, 2016

    tupe source ya taarifa yko mkuu....
  11. M

    JamiiForums Tanzania RAMANI ZA NYUMBA

    ramani za nyumba za kuishi(residential house),land scaping#tuwasiliane kupitia no 0752450273
  12. M

    JamiiForums Tanzania Please CHADEMA, walk the talk.

    chadema ni chama makini.
Back
Top Bottom