mafioso ntajitahidi kukutumia namba nilizo nazo pamoja yangu. Kwa pm. Nipe muda mpaka kesho. Usihofu Kikubwa tukutane sehemu pamoja kwa lengo moja. Wadau wote namba zenu zitafanyiwa kazi.
Safi mahesabu kwa utayari wako, mpaka sasa akidi bado haijakamilika .
Vp kama group ianze hivyo hivyo tukawa na mijadala ya awali....??
Red g tunaomba baraka zako..
So lianze????????????
Mkuu red g naendelea kupata pm za namba za wadau.. soon group litakuwa online.. Woote mliotuma namba fanyeni subira kidogo angalau akidi itimie mijadala na michango moto moto ianze. Nafasi bado zipo nyingi mnakaribishwa
Ok good idea sasa kwa aliye tayari anipm namba yake nikuweke ktk group la whatsapp, wacha tuanzishe hiyo group kisha tutafanya na utaratibu wa kumuwezesha ndg red g mtoa wazo kupata japo tecno.
Mkuuu aslimia 65 ya wabunge wa ccm wametumia pesa kununua ubunge asilimia 20 wameiba kwa ushawishi wa pesa na nguvu ya dola. % Iliyobaki kweli wameshinda kihalali. Bado sijajua huo msimamo wako wa kumchukia el.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.