Recent content by Mshimba1971

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji matetea ya kuku wa kienyeji (pure) niko Dar

    Bei gan kwa tetea? unaweza nipa namba yako inbox?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji matetea ya kuku wa kienyeji (pure) niko Dar

    Wadau! Naitaji kuku (Matetea) yanayokaribia Kutaga au yanayotaga kwaajili ya ufugaji. Wawe watagaji wazuri niko Bunju Dar es salaam. Aliyenao naomba anicheck PM.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mhitaji wa dada wa kazi ndani(housemaid)

    bado yupo mkuu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania NAUZA Biography(Vitabu) za Nyerere, Mkapa na Obama

    Wadau, Nauza Biography za Viogozi wa zamani Mkapa, Nyerere na Obama zenye picha hapo chini. Hii ni baada ya kuwa nimemaliza kuvizoma.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenga zilizotumika (used) zakubebea kuku

    WADAU, NATAFUTA TENGA ZILIZOTUMIKA (USED) ZA KUBEBEA KUKU KAMA HIYO YA KWENYE PICHA HAPO CHINI. KAMA UNAZO NAOMBA NICHECK INBOX. NAITAJI ZILIZOTUMIKA KWA UNAFUU WA BEI.
  6. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiko la gesi la biashara na mtungu wake-100,000 tu

    Nipatie namba yako inbox boss.
  7. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiko la gesi la biashara na mtungu wake-100,000 tu

    Linauzwa: jiko la gesi la biashara na mtungu wake-100,000 tu. Liko bunju b piga 0767 72 73 88
  8. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mlango wa Kioo wa Aluminium wa frame(used)

    Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7. Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 150,000 Tu. Unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k Napatikana Dar es salaam, Bunju B...
  9. M

    JamiiForums Tanzania ANAITAJIKA:MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI.

    Unasema hivyo kwa sababu hujawahinfanya biashara boss. Ni kweli watakuja wengi sana hata wasiojua chochote kuhusu hiyo kazi mladi tu apate huo mshahara.Kama mtu anania ya kazi mshahara pekee sio kigezo. Nakushauri fungu leo bar bunju na tangaza mashahara wa milioni moja uajiri mtu,
  10. M

    JamiiForums Tanzania ANAITAJIKA:MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI.

    Niunganishe nae tuongee. kifupi mshahara huwa hauongelewi mitandano, ni makubaliano to hela niliyosema ni guideline tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania ANAITAJIKA:MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI.

    Kwako ndogo kwa sababu unayo mkuu, 5000 ni kuchoma mbuzi mmoja na kwa siku tunachoma zaidi ya 6, ni hela ndogo hiyo?
  12. M

    JamiiForums Tanzania ANAITAJIKA:MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI.

    ANAITAJIKA MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI MWENYE UZOEFU MZURI, KWAAJIRI YA BIASHARA BUNJU B. MARIPO NI TZS 5,000 KWA SIKU NA BONUS YA KILA MWEZI KUTOKANA NA MAUZO NA UBORA WA KAZI. KAMA UKO SAFI NA UZOEFU NITUMIE NAMBA YAKO DM.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji toka Handeni; Tanga

    Mkuu unaweza nipa connection ya mtu wa handeni? naitaji kuku huko.
  14. M

    JamiiForums Tanzania INAITAJIKA:JIKO LA NYAMA(USED)

    NAOMBA NAMBA YAKO BOSS NIKUPIGIE
  15. M

    JamiiForums Tanzania Unatafuta eneo la kufugia Nguruwe jirani na Dar?

    Mkuu fanya laki 1 nijichange nichukue!
Back
Top Bottom