Siyo kweli...hayupo kibiashara. Anachofanya yeye ni kutaka watu wajue upande au wasikilize upande wa pili wa shilingi. Maana kwa miaka mia moja tumekuwa tunajuwa upande mmoja tu wa hili swala la HIV. Alafu kuna kitu nashindwa kukuelewa' kajidunnga sindano ya ukimwi au HIV? Sasa kama unashindwa...
Samahani Doctor,nimekuja na swali lingine...inasemekana somtime baadhi ya watumiaji wa ARV (wenye tatizo la HIV) ikatokea ameenda kupima tena anaweza kakutwa kuwa yupo negative. Je hii ni kweli au ni uongo? Kama ni kweli ni kitu gani kinachosababisha huyu mtu aonekane negative wakati alikuwa...
Samahani Doctor...sisi wengine tuna ndugu zetu ambao wana tatizo hili la HIV na wako kwenye dozi. Je unashauri watumie dawa gani ambazo ni mzuri ili wasipate hayo matatizo ya ini na figo?(kama kweli yapo) Maana ukimsoma Deception anasema hizo ARV ndizo zinazosababisha matatizo ya ini na figo au...
Naheshimu ulichokiandika...ila sidhani kama huyu Deception yuko kibiashara' ukimsoma between the line utagundua kama huyu jamaa anamuonekano wa kujitolea tu kwa watu wenye matatizo haya ya HIV
Kama habari hii ni ya kweli basi hata mimi napendekeza huyo mwanaume aambiwe ukweli na ikibidi wakacheck afya zao pamoja.
Lakini pamoja na hayo yote niseme tu Watanzania tulio wengi hatuna ufahamu wa tatizo hili la HIV...kuna watu hawajui tofauti ya ukimwi na HIV. Niseme tu kuwa namshukuru sana...
Tufanye sawa' tunakubaliana na haya maneno yako.
Sasa ikiwa kama wewe ndiye 'Kiongozi Mkuu' je unatushari tumchague mgombea gani wa urais? Tumchague yule mgombea wako mama wa ACT au tumchague Magufuli wa CCM? Maana Lowassa si hafai?
Ahsante Kiongozi Mkuu...nasubiria jibu kwa faida ya...
Ha ha haaa naona Kiongozi Mkuu wa ACT kakugongea like. Ila kama unaakili za kusoma alama za nyakati hebu tizama comment za watu wote kwenye thread yako hii ni wangapi wamekuunga mkono na wangapi wamekupinga. Hakika heshima yako hapa jamvini inayeyuka kama theruji.
Alafu ulivyokosa maono...
Ha ha haaaa...ongeza na hii mkuu
Kikwete na Lowassa maadui
Zitto na CCM marafiki
Sumaye na Mkapa maadui
Mwandosya na Nape maadui
Ester Bulaya na Wasira ni zaidi ya uhadui
James Lembeli na CCM maadui.
Mwisho...The Boss wa JF amekuwa ndumila kuwili. Huku anang'ata na kupuliza na kule anan'gata na...
Hawa ni zaidi ya wapuuzi...yaani wako radhi CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 54 for nothing iendelee kututawala kuliko kuleta mabadiliko kupitia Ukawa na Lowassa. Binafsi kikiwekwa Kinyesi na Magufuli' kura yangu nitaipiga kwa hicho kinyesi cha binadamu. Nimeichoka CCM na mambo yake yote kupita...
Kwanza muulize...je Libya kulikuwa na uchaguzi au kulikuwa na mapinduzi? Tanzania tuko kwenye uchaguzi na siyo mapinduzi ya kupigana kwa siraha za kivita. Kweli MaCCM hayaishi propaganda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.