Recent content by Msharika

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kenya wana katiba bora sana, angalia hii ya Bajeti ya Ikulu ya Kenya

    Sukari yao ile iliyokuwa na Sumu ikazuiwa imeingizwa sokoni. Usifurahie sana madhara utayaona karibuni
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

    Mahakama Mbona haikumtia hatiani kama alikuwa Mwizi? Uliibiwa nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

    Katiba ya KKKT ni kuwa Askofu Mkuu awezi kamwe katu asilani kuingilia dayosisi yoyote. Maamuzi ya kifedha na Rasilimali ya Dayosisi ni Juu ya Askofu muhusika na sio swala la Askofu Mkuu. HATUA kubwa aliyoipiga BABA askofu Shoo ni kuakikisha kuwa Kunakuwa na katiba moja ili kuwe na uwezo wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Prof Mkenda nimekuelewa haikuwa sahuhi kupambanisha Shule za Kimataifa na Kayumba!

    Acha uvivu wa kufikiria hapa tumewawekea mkeka , Katika shule 20 bora za serikali ni tatu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Prof Mkenda nimekuelewa haikuwa sahuhi kupambanisha Shule za Kimataifa na Kayumba!

    Acha uvivu wa kufikiria hapa tumewawekea mkeka , Katika shule 20 bora za serikali ni tatu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Prof Mkenda nimekuelewa haikuwa sahuhi kupambanisha Shule za Kimataifa na Kayumba!

    Acha uvivu wa kufikiria hapa tumewawekea mkeka , Katika shule 20 bora za serikali ni tatu
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakalenjini na Wakikuyu wataendelea kutawala Kenya miaka mingine 20

    Sheria ya uchaguzi ya kenya inasema lazima kuna namba of counties unatakiwa kushinda ,sio kabila lako tu. Na ukumbuke wanaza counties 47
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Ruto akishinda hata biashara za Tanzania na Kenya zitayumba sana, Anahasira mingi nad he is not matured enough.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka serikali Ijenge Chuo Kikuu cha Afya na Tiba Nyanda za Juu Kusini

    Hiyo kanda ku na hospital kubwa ya rufaa na serikali. Imeamishia chuo kikuu cha afya ya tina cha vhuo kikuu cha dar esa salaam hapo. Na kinaendelea vizuri. Serikali imekusudia kufanya hili jema kwa ajili ya kupatia wananchi wote huduma bora za afya
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya Chanjo ya Ukimwi Nchini yaleta matumaini

    Kwa dhati ya Moyo wangu ninampongeza sana Prof Lyamuya na team yake kubwa kwa kazi nzuri. Huu ni mwanzo mzuri kwa gonjwa hili hatari. Nawapongeza sana. Ila na mimi ninamapendekezo machache ya kuboresha utafiti huu kwa usalama na maslahi mapana ya taifa na watu wake, 1. utafiti huu umefanywa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

    Ni Nimejaribu kuwa na jicho la pili, nikaona kuwa kuna kila kitu tunatizama kwa jicho hasi ili tu kuonyesha vyuo vyetu na wasomi watanzania hawafanyi chochote. Hiyo sio sahihi. Nimejaribu kufuatilia kwenye mitandao mbalimbali ya kisayansi na kuwakuta baadhi ya watanzania waking'ara kama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa picha za Ndege athibitisha Tanzania kununua "Terrible Teen", lakini...

    Huyo ni professor je Mwananfunzi wake si ndio ajielewi kabisa , Uongo ndio dira
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Isidore Shirima, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma?

    Kastaafu akiwa RC arusha na alikuwa anasoma MBA Mzumbe 15
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya hifadhi ya jamii yaanza kujenga viwanda

    Kila tani mbili zinaajiri mtu mmoja
Back
Top Bottom