Hasara ni kubwa sio tu gharama ya uchaguzi hhata hizo hela za kuwanunua si ni kodi zetu? Bnasikia wanawalipa vizuri mishahara yote ya muda uliobaki hadi 2020 na pia kiinua mgongo hii ni hatari sana watawala hawana busara.
Kwa kweli hata tukiwaita ccm wahuni tutakuwa hatujakosea hawaoni hata aibu nasikia pia uhuni huu wapo pia mawaziri ambao ni madiwani wanajidhalilisha wenyewe na kupotea imani kwa wananchi siamini waziri kama Ndalichako Mbarawa Balozi Maiga na wegine wapo ktk ijinga huu.
Ccm wanatia kichefuchefu ni wendawazimu na wanatumia mamlaka za serikali kulinda upumbavu wao.halafu na mamlaka zenyewe kama polisi na jiji wanayumbishwa na ccm na waoga kusimamia ukweli ili kulinda vibarua vyao wamekuwa watu wa ndio mzee bila hata kufikiri kidogo kwa akili zao.
Ubaguzi ni utamaduni wao hata sasa wamembagua MaalimSeif baada ya kushinda urais wanaendelea wao kutawala bila ridhaa ya Wazanzibari na wanatumia majeshi kuwatisha watu wasidai haki ya kiongozi wao waliomchagua.
Asante JPM unaona mbali sana bila kumuonea mtu yeyote aibu hata kama ni rais mstaafu kwa maamuzi yake mabovu.ilikuwa haiingii akilini hii hivi hakuwa na washauri au ni washauri wanafiki wa ndio mzee na kutomwambia ukweli bwana mkubwa aliyemaliza muda wake?haki ya Mungu wewe ni Rais bora...
Jamani watz tuwe serious na maisha yetu uchaguzi ndio maisha yetu tusifanye mzaha ni wakati muafaka wa kufahamu ni nani kiongozi wetu wa kutuondolea aibu hii iliyoletwa na ccm tubadilike sasa mambo ya wizi wa mali ya umma tumechoka ni lazima tubadilishe chama sasa hawa ccm wamechoks wala hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.