mamyake
Member
- Jan 2, 2014
- 88
- 60
Nipo Dar, nahitaji msaidizi wa kazi za nyumbani wa kike ambae majukumu yake makuu yatakuwa kumhudumia mtoto wa miaka mitatu muda ambao nakuwa ofisini au nikisafiri kikazi: kumpikia mtoto, kumlisha, kumweka katika hali ya usafi na kumfulia nguo zake. Yupo binti mwingine ambae watakuwa wanasaidiana kufanya usafi wa nyumba kila siku asubuhi. Chakula,matibabu na malazi nitagharamia.
Vigezo:
Asizidi miaka 20
Awe mkristo
Ajue kusoma
Awe na bidii ya kazi
Mshahara:
100,000 kwa mwezi
Likizo: mara 1 kwa mwaka (mwezi wa 12)
Kwa mawasiliano zaidi niPM
Vigezo:
Asizidi miaka 20
Awe mkristo
Ajue kusoma
Awe na bidii ya kazi
Mshahara:
100,000 kwa mwezi
Likizo: mara 1 kwa mwaka (mwezi wa 12)
Kwa mawasiliano zaidi niPM