Recent content by msemakweli10

  1. M

    Wapinzani waipinga hotuba ya kikwete

    siri inajulikana ila wao hawajui kama twaijua
  2. M

    Wapinzani waipinga hotuba ya kikwete

    Wana JF wasalaam. Jana nimefuatilia kwa ukaribu sana hotuba ya JK, sijaona chochote chenye kufikirika "rationale" alichosema huyu bwana zaidi ya kuvuta kamba kwa serikali mbili. Mimi naweza kusema kwamba angeambiwa aongee kabla ya mzee wetu mwenye busara za Nyerere, warioba; asingepata hata...
  3. M

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Mie nafikiri hawa wanafiki wa ccm wakiipitisha rasimu ya serikali mbili, hawatakuwa tena na dhamana ya kuchaguliwa viongozi 2015. Haiezekani wananchi tutoe maoni halafu yapuuzwe kiasi hiki tena na kiongozi mkubwa wa nchi. Rais jana kaja akiwa na majibu, tena kadesa yale alosema warioba. Ni...
  4. M

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Serikali tatu ndo jibu. Kuanzia jana nimehitimisha kwamba JK hana jipya na anazidi kuiharibu nchi yetu. Naomba amalize tu muda wake aende ajuapo.
  5. M

    Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Usikurupuke na hitimisho lisilo na mashiko. Nguvu ya umma wengi ni vijana na hawajajiandikisha. Subiri mwakani uone mambo.
  6. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Halafu hii picha ndo mnawanga au vp?
  7. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Wewe umechanganyikiwa subiri tu kucharazwa viboko. Makamanda hatuna utani na nchi yetu
  8. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Wana Jf popote mlipo. Tupo tumetia kambi kata ya tungi tunalinda kura. Maccm wameleta kundi kubwa na DCM kwa lengo la kupiga kura tumewatimulia mbali. Cha kushangaza wamekimbia kitu kinachodhihirisha kwamba ni wezi. Pia wana masanduku ya kura bandia kwenye magari wanavizia jinsi ya...
  9. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Pamoja daima kamanda. Leo kitaeleweka kamanda. Hii nhi ni ya cdm
  10. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Hapo patamu kamanda. Utabiri mzuri tusubiri majibu jioni
  11. M

    Uchaguzi mdogo kesho taarifa...

    Kiboriloni mgombea ccm asalimu amri ya kujiondoa.chezea cdm wewe!
  12. M

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Slaa is our choice
  13. M

    Tundu Lissu na ufungaji kampeni za udiwani kata ya Tungi

    Kampeni zimeisha salama kabisa. Tusubiri tu matokeo kesho
  14. M

    Tundu Lissu na ufungaji kampeni za udiwani kata ya Tungi

    Tundu lisu ni kichwa cha cdm. Usifikiri kwamba anachanganya chochote. Ni uelewa wako tu mdogo
  15. M

    Tundu Lissu na ufungaji kampeni za udiwani kata ya Tungi

    Tulia kamanda utaendelea kupata updates.
Back
Top Bottom