Fred Mushi
Member
- May 4, 2013
- 49
- 9
Kiborloni CCM tutashinda kwa kishindo..
Mkutano wa ccm ambao wamefunga kampeni hadi aibu askari ndo walikuwa wamejazana zaidi kuliko raia yaan nimefanya kuhesab haraka2 n kama watu 30 ndo wamehudhuria.
usijali ngoja niweke picha maana 3g ilipotea ghafla ngoja niweke.Ungechukua picha ukatuwekea ingekua poa zaidi
Hivi ni kata ngapi hapo zilikuwa chini ya CCM na zipi za CHADEMA?
Kiborloni CCM tutashinda kwa kishindo..
Ndesa amefungia kampeni kiboriloni sokoni,dogo janja mbunge wa Arumeru amefunika sana akamaliza kuhutubia akaenda arusha,Ndesa kasema kama ccm wanajivunia mgombea wao ni mzuri basi wammepeleke Mombasa.
Hivi ni kata ngapi hapo zilikuwa chini ya CCM na zipi za CHADEMA?
Mtashinda njaaKiborloni CCM tutashinda kwa kishindo..
Kiborloni CCM tutashinda kwa kishindo..